N ndalandefu Senior Member Joined Nov 14, 2013 Posts 123 Reaction score 47 Jun 23, 2017 #1 Ni lini Serikali itatoa majibu ya rufaa ya vyeti feki kwa wenye kufahamu. Maana mishahara ya Watumishi imesimamishwa sasa Mwezi wa pili pasipo kupewa majibu yeyote kwa waliokata rufaa.
Ni lini Serikali itatoa majibu ya rufaa ya vyeti feki kwa wenye kufahamu. Maana mishahara ya Watumishi imesimamishwa sasa Mwezi wa pili pasipo kupewa majibu yeyote kwa waliokata rufaa.