Rufaa ya Ole Sabaya kutajwa Desemba 13

Rufaa ya Ole Sabaya kutajwa Desemba 13

Huyo Jamaa anajisumbua.
Ajue tu kuwa Mungu ndio anampa adhabu.
 
Hakuna kitu jamaa imeshakula kwake,ushahid hauna shaka kwamba alifanya ujambazi wa kutumia silaha,huyo mwehu atatoka akiwa na miaka 55 lazima achezee mvua 20( 2 ya 3 ya miaka 30).
Hata ya uhujumu uchumi nimeona leo yule mama wa crdb kwa muromboo katoa ushahidi ambao hauna shaka
 
Jaji wa mahakama kuu amesema rufaa ya aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai kisha kusingiziwa ameiba simu aina ya Tecno na pesa laki tatu na sitini na kufungwa miaka 30 jela Lengai Sabaya itaanza kusikilizwa 13/12/2021 mfululizo mpaka haki itakapopatikana.

Rufaa ya Sabaya kutajwa Desemba 13 | Mwananchi - Rufaa ya Sabaya kutajwa Desemba 13
Wasubiri bana tule mzigo wake
..walau akute mtoto wa miaka 15 hivi.
 
Hivi mataga mna akili sawa? Laana ya Magufuli inaweza kumpata nani, kivipi!

Halafu, Kikristo laana ni kitu hakiruhusiwi

Acheni huo upumbafu wa kusema laana ya Magufuli itampata Rais Samia...

Mataga mnataka Nini? Semeni shida yenu msaidiwe
Jinga hapo labda una kiline cha hela basi unajiona mtetezi wa wanyonge ni adui.
 
Gaidi anatafutwa na Marekani pia
Ni upumbafu mashtaka kama hayo kuyaita ya ugaidi...angalia Uganda leo kilichotolea.

Tanzania kupitia CCM ombeni Mungu...never mention Ugaidi..kukejeli wanaohangaika nao ni jambo baya na linauma sana.
 
Jaji wa mahakama kuu amesema rufaa ya aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai kisha kusingiziwa ameiba simu aina ya Tecno na pesa laki tatu na sitini na kufungwa miaka 30 jela Lengai Sabaya itaanza kusikilizwa 13/12/2021 mfululizo mpaka haki itakapopatikana.

Rufaa ya Sabaya kutajwa Desemba 13 | Mwananchi - Rufaa ya Sabaya kutajwa Desemba 13
Mahakama Ya Rufaa itatenda Haki Kwa Kukazia na kuiongezea Hukumu Ndogo ya Miaka 30 aliyopewa Jambazi
 
Back
Top Bottom