Rufaa bodi ya mikopo

danel kasozi

Member
Joined
Nov 1, 2015
Posts
19
Reaction score
0
naomba wadau mnisaidi namna ya kukataa rufaa heslb.pia mtu anatakiwa awe na sifa zipi ili aweze kupewa mkopo.kati waliokosea sikuwemo,lakini pia 1st &2nd lot simo japo chuo nilipata( BAED),kwa sasa nina mzazi mmoja na ninao wategemezi mzee wangu ni mkulima.
 
Naona walimu wametosha hata mim BED science ila sijapata
 
Subiri awamu ya mwisho ukikosa ukate rufaa.
 

Fika chuo ulichokuwa admitted uonane na Uongozi wa serikali ya wanafunzi, watakujuza nini ufanye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…