hehe mkuu nikuizoea tu. changes are always good. Yani kusema kwl nimeipenda sana hii Windows 8, Na sasa nathubutu kusema 2mepata ya kureplace Xp ndo ilikuwa the best windows made.Ah mi ilikuwa inanizungua nimetoa,kwani kwenye hizi printer inakataa ,uzuri wake ni kuwa unafunga na kufungua kwa kutumia email yako,ina mambo mengi hadi inachanganya hasa kwa sisi vihiyo wa tekelinalokujia
hehe mkuu nikuizoea tu. changes are always good. Yani kusema kwl nimeipenda sana hii Windows 8, Na sasa nathubutu kusema 2mepata ya kureplace Xp ndo ilikuwa the best windows made.
Mkuu achana na iyo preview genuine imeshatoka na nilishapost humu.. iko very fast and smooth ndo natumia mkuuMimi pia naipenda sana,tatizo ni ile ku-restart yenyewe after sometimes,si unajua bado hatujapata genuine. Hii ya preview inabore sana. Otherwise,iko poa sana.
I download hapa hii ndo final version:Jamani nina shida na hiyo window 8..msaada tafadhali.
Mkuu achana na iyo preview genuine imeshatoka na nilishapost humu.. iko very fast and smooth ndo natumia mkuu
Jamaa wa stardock wameona kilio cha watu wengi ambao hawa pendi changes (Which I definetly not agree with them I believe change is good) Na kutegeneza software itakayo rudisha start menu kwenye Windows 8, But nimewasifu maana the tool is so great utadhani Microsoft ndo wameweka. inakupa all the full features za start menu zilizokuepo kwenye wind 7 and even better, hi tool wanauza 5$ but si unajua tena kishakuepo kitu kizuri kuna watu lazima wata icrack tu.. so nime attach below iyo software ambayo ni pre activated yani just install it and your done no need of activating it.. enjoy π
View attachment 69812
hebu niambie mtandao gani huo una offer ya usiku afu unajiungaje ungaje ,Thnx boss nimeicheki.
Ngoja nijipange usiku nitaanza kuipakua. Si unajua siku hizi tunaishi kwa promo!
I no u no wht i min dude!
Asante sana mkuu