Rudisha logo yako ya Samsung kwenye Galaxy note 3 clone

Tujisahihishe Tz

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2011
Posts
3,061
Reaction score
1,367
Habari za mchana wadau wa jukwaa

Kwa wale mnaotumia simu aina ya Samsung Galaxy note 3 clone, na ulishawahi kuifanyia simu yako hard reset na ikapoteza logo yake ya samsung unapoizima na kuiwasha karibu nikutatulie tatizo lako kwa muda wa dakika mbili tu kwa gharama ya elfu tano tu

Cha kufanya nitumie IME ya simu yako pamoja na model yake kisha nitakutumia code ambayo utaweka kurudisha logo n muonekano mzuri wa Galaxy note 3 yako

Malipo unalipa kwanza kwa njia ya Tigo Pesa namba 0716863406 unalipa kwanza ndo unapata huduma. Interest tuwasiliane kwa namba hiyo hapo juu.

UPDATE

kwa wale watumiaji wa Samsung galaxy s4 pia nao naweza tatua na kurudisha mwonekano mzuri wa simu zenu kwa logo ya samsung

Karibu wote
 
Habari za mchana wadau wa jukwaa

Kwa wale mnaotumia simu aina ya Samsung Galaxy note 3 clone, na ulishawahi kuifanyia simu yako hard reset na ikapoteza logo yake ya samsung unapoizima na kuiwasha karibu nikutatulie tatizo lako kwa muda wa dakika mbili tu kwa gharama ya elfu tano tu

Cha kufanya nitumie IME ya simu yako pamoja na model yake kisha nitakutumia code ambayo utaweka kurudisha logo n muonekano mzuri wa Galaxy note 3 yako

Malipo unalipa kwanza kwa njia ya Tigo Pesa namba 0716863406 unalipa kwanza ndo unapata huduma. Interest tuwasiliane kwa namba hiyo hapo juu.

Karibu wote
Duuuuh!!
 
Wewe Unaweka dhamana ya kitu gani!

Mkuu KakaJambazi ni kweli inaweza kuwa ngumu kuamini, lakini elfu tano haiwezi kunifanya nikajiharibia hapa jf, ni kitu cha kuaminiana tu mkuu, kama utapenda nikufanyie kazi yako nipe kwa roho nyeupe tu, hiyo ni hela ndogo sana mkuu
 
Last edited by a moderator:
Kazi yako isipofanikiwa leta feedback hapa, eleza na kama umefanikiwa pia usisite kuleta feedback
 
Daaaahhh m yangu ukiwasha ukixma unakuandikia android vp hlo nalo unawex kulita2a
 
Mkuu KakaJambazi ni kweli inaweza kuwa ngumu kuamini, lakini elfu tano haiwezi kunifanya nikajiharibia hapa jf, ni kitu cha kuaminiana tu mkuu, kama utapenda nikufanyie kazi yako nipe kwa roho nyeupe tu, hiyo ni hela ndogo sana mkuu

Mkuu Gambas nadhani we ungeonyesha mfano kwa kututoza alfu 10 huduma ikikamilika, yani mtu akiku-pm, we unamtuma kwanza alfu 5, ikikamilika anapaswa kukutumia elfu 10, swala ni kuaminiana tu, elfu 5 ni kitu gani.
 
Yaaap KakaJambaz experience!
 
Last edited by a moderator:
Wewe Unaweka dhamana ya kitu gani!

Habar kaka, nimeku quote coz nimeona upo inline n nina shida. Niwie radhi niko nje ya mada husika. "Mim natumia galaxy poket for jf. Sasa jf ilikuwa outdate n once nilipo update yan siwez kupost my new topc zaid ya ku qoute na kureply." Your help please! Wat to do jaman mana ata zile optn za kusend new topc sizion tena..thankyu
 
Yaaap KakaJambaz experience!

KakaJambazi sijui kama nimekuelewa vyema, kuwa inapaswa nitoze elfu kumi mtu akini-pm namtuma elfu tani? kisha akishakamilishiwa huduma anatuma elfu kumi???

mkuu kama unashida na huduna hii tafadhari ebu tuwasiliane uwaletee feedback wanajf
 
Last edited by a moderator:
Kawaida ya humu tunapeana maujuzi bure sasa wewe unataka ela..

Peleka jukwaa la matangazo
 
Mkuu biee, sio mtaalamu sana.

Wa kukusaidia ni huyu Mkwawa
 
Last edited by a moderator:
KakaJambazi sijui kama nimekuelewa vyema, kuwa inapaswa nitoze elfu kumi mtu akini-pm namtuma elfu tani? kisha akishakamilishiwa huduma anatuma elfu kumi???

mkuu kama unashida na huduna hii tafadhari ebu tuwasiliane uwaletee feedback wanajf

Mi nna shida, tatizo we huna cha kuweka mdhamana.
 
KakaJambazi ok isiwe ishu sana nipigie nakutengenezea utalipa baada ya kukamilisha kazi kama utakuwa mwaminifu good, kama utanizima baada ya kutengezewa Mungu atanilipa hiyo hela namba hiyo hapo juu.
 
Last edited by a moderator:
KakaJambazi ok isiwe ishu sana nipigie nakutengenezea utalipa baada ya kukamilisha kazi kama utakuwa mwaminifu good, kama utanizima baada ya kutengezewa Mungu atanilipa hiyo hela namba hiyo hapo juu.

Poa, nitakutwangia nikitoka chachi.
 
Kawaida ya humu tunapeana maujuzi bure sasa wewe unataka ela..

Peleka jukwaa la matangazo

mkuu siyo kila kitu kinacholetwa ni cha bure, napenda kufanya hivo, lakini natumia gharama kupata code ndiyo maana, wakati mwingine tuchangiane
 
Back
Top Bottom