Ruby ya kg 2.8 Inatoroshwa,Halafu Mnaishia Kukamata Gramu 12 Bariadi?

Ruby ya kg 2.8 Inatoroshwa,Halafu Mnaishia Kukamata Gramu 12 Bariadi?

Jiwe hilo la Ruby limetoroshwa na sasa liko mnadani huko Dubai.
Linanadiwa kwa kuwa na thamani ya 240 bilioni za kitanzania.

Kwa Serikali makini na kwa nchi yenye Bunge makini.......

Tungekwishaona hatua kubwa za kimaamuzi zikifanyika ili kuipata hiyo haki ya watanzania iliyoporwa na wajanja wachache kwa manufaa yao binafsi.

Badala yake tunapewa majibu mepesi na serikali kupitia naibu waziri Kiruswa bungeni.


Baadae tunaishia kuonyeshwa Drama za taarifa ya habari kuwaonyesha kina mama wale wawili waliooneshwa kukamatwa huko Bariadi wakiwa na dhahabu ya gramu 12.

Tanzania hii ya sasa tunaelekea wapi?

Tukisema tunaambiwa twende tukazikwe Chato.

Haya Bhana!
View attachment 2197279
Maccm hayo!
 
Back
Top Bottom