Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 17,463
- 21,194
Amesema wa pili sio wa kwanzaHaya sasa,wako wapi WCB waliomponda na kumtukana Darasa kwa hii ngoja yake mpya?
Unasema Ruby atakuwa msichana wa kwanza kujiunga WCB,Queen Darling ni mwanaume?
Hizo ni tetesi!Haya sasa,wako wapi WCB waliomponda na kumtukana Darasa kwa hii ngoja yake mpya?
Unasema Ruby atakuwa msichana wa kwanza kujiunga WCB,Queen Darling ni mwanaume?
Soma habari amesema wa kwanzaMbona queen Darleen Yupo wcb toka cku nyingi tuu ww unasema Ruby amekuwa mwanamke wa kwanza kujiunga wcb
Clouds wana hisa WCB?,Kama jibu siyo,Ni jukumu la WCB kusimamia kazi za msanii wake.Clouds wana mgogoro na ruby si rahisi kusign wcb
Hizo ni tetesi!
Hajajiunga WCB unless likitoka tamko rasmi..
Alafu mkumbuke Darassa ana lebo yake CMG kwahiyo sio kitu rahisi kwake kujiunga WCB..
Alafu "usajili" WCB ulifungwa kwa muda ili kuwasukuma wasanii ambao tayari wapo.. Kwahiyo hii taarifa itabakia tu kuwa tetesi
Ruby mpaka sasa alitakiwa awe amejiunga kitambo sana! Ila kuna vitu vilikuwa havijafikiwa muafaka..
Tusubiri official announcement..
vitu gani hivyo mkuu ambavyo hawakufika navyo muafaka?Hizo ni tetesi!
Hajajiunga WCB unless likitoka tamko rasmi..
Alafu mkumbuke Darassa ana lebo yake CMG kwahiyo sio kitu rahisi kwake kujiunga WCB..
Alafu "usajili" WCB ulifungwa kwa muda ili kuwasukuma wasanii ambao tayari wapo.. Kwahiyo hii taarifa itabakia tu kuwa tetesi
Ruby mpaka sasa alitakiwa awe amejiunga kitambo sana! Ila kuna vitu vilikuwa havijafikiwa muafaka..
Tusubiri official announcement..
queen darlin n mama mtu mzima km wew,huy hata mtoto hanaHaya sasa,wako wapi WCB waliomponda na kumtukana Darasa kwa hii ngoja yake mpya?
Unasema Ruby atakuwa msichana wa kwanza kujiunga WCB,Queen Darling ni mwanaume?
Kufika mpk kuuliza basis wana kitu special la cvyo ungepita kimya kmyaWCB kwani wana kitu gani special?
Kufika mpk kuuliza basis wana kitu special la cvyo ungepita kimya kmya
Ungemtagi sasaNimemuuliza mtu specific
au hujagundua hilo?
Haya sasa,wako wapi WCB waliomponda na kumtukana Darasa kwa hii ngoja yake mpya?
Unasema Ruby atakuwa msichana wa kwanza kujiunga WCB,Queen Darling ni mwanaume?