Nandy anavyoshine anamnyima rahaSijui kapatwa na nini now days zzzzz
mambo ya babu wa kariakoo yameingiaje hapa na wakati anayetajwa ni Ruby?RUBY ALITOA TANGAZO WATU WAFANYE VIDEO YA WIMBO ULE,ATAKAESHINDA NDO ITAKUWA VIDEO RASMI NA PIA ATAMPA ZAWADI.
Inawezekana mradi huu uliishia njiani.Usione babu wa kariakoo anatumikishwa fiesta sio kwamba anapenda ila anaogopa kupotea kwenye game kama mwanzo.
Moto mwa kuotea mbali ule. Nilimpenda toka kwenye mashindano ya huko kenya kama sikosei. Alilishusha grenade la bruno mars hatari sana.Nandy anavyoshine anamnyima raha
Yupo vizuri aiseeMoto mwa kuotea mbali ule. Nilimpenda toka kwenye mashindano ya huko kenya kama sikosei. Alilishusha grenade la bruno mars hatari sana.
Sana ruby ndio basi aaniYupo vizuri aisee
nilisikia anajipanga hadi leo kimyaSana ruby ndio basi aani
MziKi wa bongo si unaujua mwenyewe,uki cease na wewe Zzzz the return ngumu kutusua...one in a hundrednilisikia anajipanga hadi leo kimya
Kweli aisee...ajipange upyaaa kwa maana damu changa zinazidi kujitokezaMziKi wa bongo si unaujua mwenyewe,uki cease na wewe Zzzz the return ngumu kutusua...one in a hundred
Mkuu kwani unamjua Babu wa kariakoo??mambo ya babu wa kariakoo yameingiaje hapa na wakati anayetajwa ni Ruby?
Hata kama, lakini ndio yeye anayezungumziwa hapa kwaniMkuu kwani unamjua Babu wa kariakoo??
Aliwaambia watu wafanye hivyoNajua aligombana na Clouds last year hakushiriki Fiesta aligoma, ila bado nawaza why Wimbo una Video covers nyingi namna hii then hakuna yake hata moja? What happened?
RUBY ALITOA TANGAZO WATU WAFANYE VIDEO YA WIMBO ULE,ATAKAESHINDA NDO ITAKUWA VIDEO RASMI NA PIA ATAMPA ZAWADI.
Inawezekana mradi huu uliishia njiani.Usione babu wa kariakoo anatumikishwa fiesta sio kwamba anapenda ila anaogopa kupotea kwenye game kama mwanzo.
Mmhhh, aisee,Aliwaambia watu wafanye hivyo
RUBY ALITOA TANGAZO WATU WAFANYE VIDEO YA WIMBO ULE,ATAKAESHINDA NDO ITAKUWA VIDEO RASMI NA PIA ATAMPA ZAWADI.
Inawezekana mradi huu uliishia njiani.Usione babu wa kariakoo anatumikishwa fiesta sio kwamba anapenda ila anaogopa kupotea kwenye game kama mwanzo.
Waliomfanyia ubaya ni clouds.Mmhhh, aisee,
Sikujua hili,
Kumbe ndio maana kukawepo Video za Kutosha tu,
Sasa alishinda nani katika hilo Tangazo??
Na haoni kama ilichangia kumpoteza pia??
Yaani wimbo mzuri afanye yeye lakini kwenye Video waonekane wengine, inakuja kweli hii??
Kwa ambae hamjui akiingi Google anakutana na Video mbali mbali za watu wengine, ye Ruby anajitangaza vipi sasa hapo??