Bongoclever
Senior Member
- Jul 30, 2012
- 105
- 11
Habari ndugu zangu. Kati ya Pilot na Engineer ni nani mwenye mshahara mkubwa na ni ipi kati ya izo kazi yenye heshima
Nawasilisha mada
Nawasilisha mada
Utajiri ni nini ?pilot ni nzuri kiheshima na mshahara pia ni mkubwa huwezi kukuta pilot maskini hata cku moja