RUBADA lini wanaita?

RUBADA lini wanaita?

jacobian

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2014
Posts
417
Reaction score
158
jaman wana jf, ivi watu hawa hawajaita watu kazin?
interview ilikuwa tangu mapema january, kuna watu wanasubir sana!
 
Mh nilishawahi apply ila sikuitwa interview...so sijui nini wamefikia wapi
 
Habarini wanajamvi, Hawa watu wa RUBADA walishaita watu kazini Kwa wale waliofanya interview? ni muda sana.

Nawasilisha
 
watu wako kazini tayari. interview ilifanyika lini? coz hata Mimi nili apply but sikuitwa, nimekuja ambiwa kuwa watu washaitwa kaZini tayari.
 
jamaa fulan aliniambia kuwa ilikuwa ya kindugu sana. Tanzania yangu...........
 
Habarini wanajamvi, Hawa watu wa RUBADA walishaita watu kazini Kwa wale waliofanya interview? ni muda sana.

Nawasilisha
Hakuna watu wa ajabu sana kama hawa wajinga wa RUBADA,kwanza walitangaza kazi ambazo budget haijatoka wizarani na pili mkurugenzi wa RUBADA zile nafasi zote alipokea vimemo vya watu wanaotakiwa kwa hiyo ili kuhakikisha kama watu wake wameitwa alishiriki kwenye interview zote kuanzia ndogo mpaka kubwa.So in short kama wewe ni miongoni mwa waliopewa vimemo subiri mtaitwa baada ya budget kutoka na kama haukuwa kwenye list ya vimemo take my word huwezi kupata wewe endelea na kupambana kwingine. Huamini acha sikulazimishi lakini ukweli ndio huo maana ilifikia hatua kwa sababu ya vimemo kuna watu wenye akili zao wametemwa kwa hiyo ikaleta sana ugomvi na MD na wafanyakazi.Mungu ibariki Tanzania
 
so hawataita mpaka wapate mgao wa budget
 
so hawataita mpaka wapate mgao wa budget

Mpaka budget itakapotoka ndiyo watu waliokuwa na vimemo wataitwa lakini pia ni kumuomba Mungu kama kweli ulikuwa miongoni mwa walioitwa kwa vimemo maana ikitokea yule mkurugenzi akahamishwa kabla ya budget kupitishwa machakato utarudiwa upya kabisa maana management nzima ya RUBADA hawajakubaliana na mchakato ulivoendeshwa.Kama uliitwa kwenye interview nadhani ulijionea mwenyewe response ya watu wa RUBADA
 
Baadhi yao naskia kesho 01.04.2014 wanaanza hongereni wenzetu mliopata
 
Si tumesubiri za mwezi waba naona kimya wanajamvi kuna alie itwa?
 
tuliambiwa tusubir up to July naona mwez ndo unaisha wanajamvi
 
Back
Top Bottom