Don Mangi JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 2,199 Reaction score 855 Jan 27, 2013 #1 Nimemisi white party bhana, . .ni hizi safari zangu zinanibania, nikiwa ruangwa, lindi sa hivi najitahidi kuchochea moto wa gesi kwa mabua.
Nimemisi white party bhana, . .ni hizi safari zangu zinanibania, nikiwa ruangwa, lindi sa hivi najitahidi kuchochea moto wa gesi kwa mabua.
Z Zero One Two JF-Expert Member Joined Sep 16, 2007 Posts 9,346 Reaction score 3,033 Jan 27, 2013 #2 Unachoe moto wa gesi kwa mabua! ngoja nikuletee petrol pure Don Mangi said: Nimemisi white party bhana, . .ni hizi safari zangu zinanibania, nikiwa ruangwa, lindi sa hivi najitahidi kuchochea moto wa gesi kwa mabua. Click to expand...
Unachoe moto wa gesi kwa mabua! ngoja nikuletee petrol pure Don Mangi said: Nimemisi white party bhana, . .ni hizi safari zangu zinanibania, nikiwa ruangwa, lindi sa hivi najitahidi kuchochea moto wa gesi kwa mabua. Click to expand...
Ralphryder JF-Expert Member Joined Nov 16, 2011 Posts 5,599 Reaction score 1,801 Jan 27, 2013 #3 Don Mangi said: Nimemisi white party bhana, . .ni hizi safari zangu zinanibania, nikiwa ruangwa, lindi sa hivi najitahidi kuchochea moto wa gesi kwa mabua. Click to expand... Don Mangi,pitia pale Royal kuna supi ya kuku wa kienyeji! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Don Mangi said: Nimemisi white party bhana, . .ni hizi safari zangu zinanibania, nikiwa ruangwa, lindi sa hivi najitahidi kuchochea moto wa gesi kwa mabua. Click to expand... Don Mangi,pitia pale Royal kuna supi ya kuku wa kienyeji!
Don Mangi JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 2,199 Reaction score 855 Jan 27, 2013 Thread starter #4 noahism said: Unachoe moto wa gesi kwa mabua! ngoja nikuletee petrol pure Click to expand... Nangoja mkuu. . .nitakua naisubiria pale sheli kwa mbuyuni.
noahism said: Unachoe moto wa gesi kwa mabua! ngoja nikuletee petrol pure Click to expand... Nangoja mkuu. . .nitakua naisubiria pale sheli kwa mbuyuni.
Don Mangi JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 2,199 Reaction score 855 Jan 27, 2013 Thread starter #5 Ralphryder said: Don Mangi,pitia pale Royal kuna supi ya kuku wa kienyeji! Click to expand... Ndo nimeamkia hapo mkuu sa hvi niko huku kilimahewa kuna wadau nawasaka. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Ralphryder said: Don Mangi,pitia pale Royal kuna supi ya kuku wa kienyeji! Click to expand... Ndo nimeamkia hapo mkuu sa hvi niko huku kilimahewa kuna wadau nawasaka.