RPG Tena... ?

tuogee kiuhalisia bila ushabiki
kuna mtanzania yupi wa kumuua na bomu la kivita
 
Akina nani ndugu?
Niko shamba huku namalizia kuvuna karanga. Mkimaliza kuandamana zitakua zishakauka, zinaenda kiwandani kutengeneza peanut butter!
Ahaaaa hukuungana na dada wa taifa la nyumbu!!
Hongera kwa shughuli zako mkuu
 
Hivi mnijulishe huwa nasikia UTAYARI ni utayari ya kufanya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…