Rpc Shana na mauaji

Rpc Shana na mauaji

Enzi za mkama snap ulimuona? Mkama alikuwa na kirungu pingu na pistal.
Tuache hiyo mkuu madhara ya hawa majambazi ni mabaya kupindukia. Watakufiliai na kukuacha we na familia yako huna uelekeo, watakuachia ukilema mbaya zaidi watakuua
Tuheshimu utawala wa sheria, hata kama wakinitembelea wakamatwe wapelekwe mahakamani ndivo utawala wetu aliotuachia Mwl Nyerere RIP unavotuagiza.
Zamani polisi alikuwa anatembea na kirungu tu na wengine kama akina marehemu Mkama Sharp hawakuwa wanatembea hata na kirungu au pingu, lakini walikuwa wanakamata watuhumiwa kutoka maeneo mbalimbali na kuwafikisha vituoni salama salimini.

Polisi wa sasa wana njama ya kuwanyima kazi mahakimu na majaji kwamba wakae wale mishahara bure bila kufanya kazi, mwishowe serikali ione hawana maana wafutwe!!
 
Hakuna anayeruhusiwa kuua awe jambazi awe polisi, uhai ni zawadi kutoka kwa Mungu hakuna mwingine mwenye haki ya kwenda kinyume na hili labda awe mpagani au mfuasi wa Lucifer mpinga Mungu.
Sawa kumbuka hata MUNGU aliwaambia waisraeli kuwaangamiza kabisa maadui zao wasibakize hata watoto wachanga.

Sasa sijui ww ni nani ambaye adui yako akijakutoa uhai umkamate halafu umpeleke mahakamani.

Pastor Gwajima ana siraha unaxani hiyo ni pambo eti?

Ikibidi ua kuokoa uhai wako na wa wengine.
Hilo ndo jukumu la polisi.
 
Huwa anakamata wahalifu hasa hasa matapeli na vibaka ambao hawatumii silaha za moto.

In short jambazi sio mtu wa kumkamata..ukimwona kavamia anatumia silaha hamna mjadala mpige risasi maana ukizubaa anakuua...

Rejea mauaji ya kibiti ndgu vile askari walivyokufa na raia wasio na hatia.

Majambazi sio watu wazuri.

ASANTE
Nadhani ufuatilii kazi anayoifanya Giresi wewe na pengine hujui vigezo vinavyotumika kuwapanga ma RPC, jamaa anakamata waharifu hakuna mharifu anayekubari kukamatwa kirahisi ndio maana polisi anapewa medani za weledi kikazi

Waliouawa guest house hawakuwa wamevamia walipanga pale kulala kama wageni.
 
uliwahi kusikia/kufatilia kesi ya zombe na wenzake. kama ujawahi fanya kuuliza alafu uje uchangie upya hapa.
Kila siku sio Jumapili...usikariri matukio mkuu...

Nimecomment kulingana na taarifa ya jeshi la polisi.

Wanachokisema nakiamini. We kama huamini utabaki hivyo hivyo.

ASANTE
 
Enzi za mkama snap ulimuona? Mkama alikuwa na kirungu pingu na pistal.
Tuache hiyo mkuu madhara ya hawa majambazi ni mabaya kupindukia. Watakufiliai na kukuacha we na familia yako huna uelekeo, watakuachia ukilema mbaya zaidi watakuua
Mkuu unayosema ni kweli ila sema kuna watu wanaleta siasa kwenye facts yaani neno hengera kwao ni msamiati mgumu.
 
Enzi za mkama snap ulimuona? Mkama alikuwa na kirungu pingu na pistal.
Tuache hiyo mkuu madhara ya hawa majambazi ni mabaya kupindukia. Watakufiliai na kukuacha we na familia yako huna uelekeo, watakuachia ukilema mbaya zaidi watakuua
Marehemu Mkama Sharp alikuwa namba C ni namba za askari polisi waadilifu asingeweza kutumia hizo zana ukiondoa kwamba alikuwa mtu wa mbwembwe nyingi tu lakini kama unamjua hukuwahi kusikia kuwa aliwahi kurusha risasi hata hewani achilia mbali kumlenga mtu.
 
uliwahi kusikia/kufatilia kesi ya zombe na wenzake. kama ujawahi fanya kuuliza alafu uje uchangie upya hapa.

Huyu jamaa inaonekana alikua mtoto mtu kama amezaliwa mwaka 2000 amepata ka smart phone anakula ana lala bure nyumbani kumuuliza swali kama hilo kama umawonea hivi
 
Kila siku sio Jumapili...usikariri matukio mkuu...

Nimecomment kulingana na taarifa ya jeshi la polisi.

Wanachokisema nakiamini. We kama huamini utabaki hivyo hivyo.

ASANTE
Unless wewe ndio mharifu sugu unajaribu kuondoa attention wasikufuatilie au unaandika lakini hujui kama kila kazi ina kanuni taratibu na sheria zake.
 
Kama ilikuwa anaheshimiwa kwa maamuzi arushe risasi ya mini.

Mmewalewesha vijana kwa bangi na gongo wamekosa adabu ndiyo maana polis wanalazimika kutumia Risasi na mabomu
Marehemu Mkama Sharp alikuwa namba C ni namba za askari polisi waadilifu asingeweza kutumia hizo zana ukiondoa kwamba alikuwa mtu wa mbwembwe nyingi tu lakini kama unamjua hukuwahi kusikia kuwa aliwahi kurusha risasi hata hewani achilia mbali kumlenga mtu.
 
Kila siku sio Jumapili...usikariri matukio mkuu...

Nimecomment kulingana na taarifa ya jeshi la polisi.

Wanachokisema nakiamini. We kama huamini utabaki hivyo hivyo.

ASANTE
kwani taarifa ya awali ya kuwakamata majambazo na kiasi cha pesa kilicho ibwa na kina zombe aliitoa nani kama si polisi

huwajui/na huta wajua polisi wa tz na kubambikia kwao hadi yakufike

kifupi tu taarifa za polisi si za kuziamini sana maana zina uongo mwingi sana
 
Kama ilikuwa anaheshimiwa kwa maamuzi arushe risasi ya mini.

Mmewalewesha vijana kwa bangi na gongo wamekosa adabu ndiyo maana polis wanalazimika kutumia Risasi na mabomu
Ni kwa sababu hata hawa askari wetu wa sasa ni vijana wnaohusika na ulevi huu ulioutaja, hawaambiliki!
 
Sawa kumbuka hata MUNGU aliwaambia waisraeli kuwaangamiza kabisa maadui zao wasibakize hata watoto wachanga.

Sasa sijui ww ni nani ambaye adui yako akijakutoa uhai umkamate halafu umpeleke mahakamani.

Pastor Gwajima ana siraha unaxani hiyo ni pambo eti?

Ikibidi ua kuokoa uhai wako na wa wengine.
Hilo ndo jukumu la polisi.
Hiyo ilikuwa enzi ya Taurati ya Musa kabla ya Yesu kuja na kuyafanya yote kuwa mapya.
 
Back
Top Bottom