RPC Olomi aliyesimamishwa kazi Kagera ni nani ?

Mkuu ndio maana kuna kupisha uchunguzi ufanyike....hizo ndo gharama za uongozi kuna kuhusika Moja Kwa Moja au ofisi yako ikatumika Bila wewe mwenyewe kuhusika.
 
Kahawa tu mtu katenguliwa, lakin kontena bandarini kulitokea kigugumizi hatari,

Nini maana yake na hatma ya nchi?
Mazingaombwe !!.
Mimi nilidharau wakati wa vyeti feki. Wana usalama na wana siasa wakiachwa huku walimu, makarani, manesi na watumishi wengine wakiona cha moto !!!.

Haya ya kahawa na macontaina ni mwendelezo tu wa ubaguzi.
 
JPM alitoa Ruksa wakulima wauze kwa Waganda??
Pia hakutoa ruhusa mzigo uingie bila kodi!Iweje RC awatishe wananchi watakaonunua samani zile halafu akaachwa tu hivi hivi?
Jaribu wewe ufanye hivyo,yaani shindwa kulipia mzigo bandarini halafu utangazwe mbada halafu wewe uwatishe wananchi,kitakachokupata utahadithia!
 
So wale walokwepa kodi ya makontena ya furniture ndo hao hao. Hata kwa ile list ya hela ya esrow wao ndo walotajwa huko list ya rada na ufisadi wote wao ndo walotajwa huko. Jitafakari ndugu. Those people are very smart acha kutokwa povu lisilo na utafiti
 
Wakati mwingine demotion hutokea kwa Nazi maalum.
 
Yule ni Kamishna,
Anaepaswa kumsimamamisha kazi ni Rais

Mbona Rais "ameagiza" asimamishwe kazi? Ingekuwa ulivyosema asingeagiza.

Hili swali ni la msingi kujibiwa. Tusijaribu kukwepa wakati kila kitu kipo wazi.

Ukiona bosi wako anatekeleza majukumu yako na kukuacha lazima kutakuwa na kitu cha ziada.
 
Acha upotoshaji
Hivi escrow, epa deep green, Iptl, songas, import support,
Madhambi ya ccm unayahamishia kwa wengine
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…