Torra Siabba
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 288
- 412
- Thread starter
- #21
HahaMaisha haya ni kama upepo ili kuzuia ni kupanda miti!
HahaMaisha haya ni kama upepo ili kuzuia ni kupanda miti!
Serious! Si ...to?kwani tanzania kuna polisi mwenye akili hata mmoja? wanashikiwa akili na masiisiiiemu pamoa na minyota yao mabegani, unasaidia watu wenye maisha mazuri ila wewe unakaa kwenye fulusuti na bado unatumika tu, wakistaafu wanahangaika na wanasiasa haohao wawasaidie kufukuzia vimafao vyao kiduchu.imagine lile zee staafu la dodoma sasahivi limeajiriwa kwenye kampuni ya ulinzi stupid.
Fuatilia sakata la mfanya biashara ya madini wa Lindi kilimtokea nini kule Mtwara ukiachilia mbali wale wafanya biashara wa madini wa kule Mahenge kabla haujaulizia alipo huyo mfanya biashara wa Mwanza.Jana nimeona Kamanda wa Polisi Mwanza SACP MUTAFUNGWA akielezea kupiga marufuku mikusanyiko ya Chadema hapa Mwanza.
Nikakumbuka Wiki kadhaa nyuma kuna mfanya biashara aliripotiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha mpaka leo jeshi hilo pamoja na Intelijensia waliyonayo ya kung'amua mambo hawajatuambia alipo mfanya biashara yule.
Ila intelijensia yao imewaambia mapema eti Chadema wanaandaa mikusanyiko kiukweli haya ni Maajabu🤣🤣.
Nadhani wangetumia muda huo kutuambia alipomfanyabiashara wetu, hivi anajua Familia wanapitia wakati gani? Aache mbwembwe
Aache mbwembwe,Madoido na mikogo......Nadhani wangetumia muda huo kutuambia alipomfanyabiashara wetu, hivi anajua Familia wanapitia wakati gani? Aache mbwembwe📌🔨
Naangalia picha mtandaoni Polisi wanavyovunja watu, wanavyosukuma watu, utadhani ni watu wameua,Police Tz nawazalauu Sanaa,waonevuu sana.
sio comedy andika comedianJana nimeona Kamanda wa Polisi Mwanza SACP MUTAFUNGWA akielezea kupiga marufuku mikusanyiko ya Chadema hapa Mwanza.
Nikakumbuka Wiki kadhaa nyuma kuna mfanya biashara aliripotiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha mpaka leo jeshi hilo pamoja na Intelijensia waliyonayo ya kung'amua mambo hawajatuambia alipo mfanya biashara yule.
Ila intelijensia yao imewaambia mapema eti Chadema wanaandaa mikusanyiko kiukweli haya ni Maajabu🤣🤣.
Nadhani wangetumia muda huo kutuambia alipomfanyabiashara wetu, hivi anajua Familia wanapitia wakati gani? Aache mbwembwe
Nasikia vimeua😭😭,kwakweli hili halikubaliki.Umma utaamuha hatimae ya Nchi hii.Kuna ujinga mkubwa Sanaa unafanyika! Hivi Chademaa nao wakuwahofia mpaka kumwaga Damu za watuu wakati 74%ya Raia wa Vijijini ni CCM. Binafisi ningetoa ulinzii chadema wakafanya mambo yao fresh.Binadamu ukiwanyanyasa Sanaa huchoka na kuamua kwa garama yayote kutafutaa uhuru.Naangalia picha mtandaoni Polisi wanavyovunja watu, wanavyosukuma watu, utadhani ni watu wameua,
Jana nimeona Kamanda wa Polisi Mwanza SACP MUTAFUNGWA akielezea kupiga marufuku mikusanyiko ya Chadema hapa Mwanza.
Nikakumbuka Wiki kadhaa nyuma kuna mfanya biashara aliripotiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha mpaka leo jeshi hilo pamoja na Intelijensia waliyonayo ya kung'amua mambo hawajatuambia alipo mfanya biashara yule.
Ila intelijensia yao imewaambia mapema eti Chadema wanaandaa mikusanyiko kiukweli haya ni Maajabu🤣🤣.
Nadhani wangetumia muda huo kutuambia alipomfanyabiashara wetu, hivi anajua Familia wanapitia wakati gani? Aache mbwembwe
😂😂😂Kila mtu anamsifu shetani kwa wakati wake, nafasi yake