Wabongo bwana, maneno meeengi kama ulikuwepo vile!!! Khaaaa, hivi mnaweza hata kuthibitisha kuwa hizo M 55 wamechukua polisi. Hivi haiwezekani kuwa hao majambazi walikuwa wengi tu na kiasi kingine cha fedha kilikuwa katika begi tofauti??!!Yaani wameokota begi lenye hela lililoangushwa na majambazi afubtuwasifie? Kwani walitumwa kuokota ama kusaka majambazi? Hawakawii kuwa wamejilipia hao hizo zilizobaki na kuua majambazi.
Afu wanatipoti yuan 97? Kha
Kwa hili lazima tuwape haki yao. Wamefanya kazi nzuri. Mimi na wewe hatujui hiyo M 55 nyingine imeishia wapi hivyo hatuna haki ya kuwatuhumu polisi hata kidogo.
Hongereni polisi bwana, achaneni na baadhi ya hawa jamaa wa JF ambao hawasikii raha bila kuponda chochote kinachotokea mbele yao.
Yaani kuna watu humu ni kuponda tu.