We ndio hujaelewa mkuu,sio tu wakae nyumbani,pia Wamekatazwa kutoa huduma zozote za kijamii! sasa huoni hilo ni tatizo? Mtu ukiumwa ghafla nani atakupakia ktk gari wakati wamakonde watamshambulia mtoa huduma? na akishambuliwa mtoa huduma polisi wakae kimya? hebu jibuni maswali haya kwa kutumia ubongo na si vinginevyoHawajaambiwa wafanye fujo wameambiwa wakae majumbani washkilize bajeti ya nishati na madini!
Mkuu Tge Big...naona jana ulibanwa mbavu na mods...kikombe cha ghahawa hakijapoa kweli? Ngoja tuone hiyo kesho man
CCM wanaogopa ARUSHA KAMA UKOMA
We ndio hujaelewa mkuu,sio tu wakae nyumbani,pia Wamekatazwa kutoa huduma zozote za kijamii! sasa huoni hilo ni tatizo? Mtu ukiumwa ghafla nani atakupakia ktk gari wakati wamakonde watamshambulia mtoa huduma? na akishambuliwa mtoa huduma polisi wakae kimya? hebu jibuni maswali haya kwa kutumia ubongo na si vinginevyo
Ha ha ha ha,Mkuu Sizinga Mods walikuwa wanajaribu kuinusuru serikali ya CCM,lakini sasa walipoona joto ya jiwe ni kali na hili jukwaa ni lulu kwa Watz wakaona bora waachie tuh,lakini kikombe mbona kilipoa mkuu...!!
Yetu macho,vipi itatoka??
Hahaaaaa....ngoja ncheke kwanza kwa hii saga...Hebu soma signature yangu kwanza!!
We ndio hujaelewa mkuu,sio tu wakae nyumbani,pia Wamekatazwa kutoa huduma zozote za kijamii! sasa huoni hilo ni tatizo? Mtu ukiumwa ghafla nani atakupakia ktk gari wakati wamakonde watamshambulia mtoa huduma? na akishambuliwa mtoa huduma polisi wakae kimya? hebu jibuni maswali haya kwa kutumia ubongo na si vinginevyo
Niwekee link ya hicho kipeperushi,mi sijaelewa maana mnaposema watu wasifanye shuguli yoyote ile wakae wasikilize bunge tu tena kwa yale wanayotaka yawe,je serikali ikisema vinginevyo? nini kitafuata? na Ni lazima watu wote wasifanye kazi hata kama hawapendi siasa? na wale wakuishi kwa kutegemea biashara hiyo hasara ya siku hiyo anarudisha nani? Na wanafunzi je? waajiriwa makazini? Mi nasema hawana nia njema! wakajipange tena sio kuzuia huduma, hilo ni kosa!Rudia kuspma tena hicho kipeperushi kwa umakini kisha utaelewa kwamba wewe ndio hujaelewa vizuri.
Niwekee link ya hicho kipeperushi,mi sijaelewa maana mnaposema watu wasifanye shuguli yoyote ile wakae wasikilize bunge tu tena kwa yale wanayotaka yawe,je serikali ikisema vinginevyo? nini kitafuata? na Ni lazima watu wote wasifanye kazi hata kama hawapendi siasa? na wale wakuishi kwa kutegemea biashara hiyo hasara ya siku hiyo anarudisha nani? Na wanafunzi je? waajiriwa makazini? Mi nasema hawana nia njema! wakajipange tena sio kuzuia huduma, hilo ni kosa!