tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,895
- 19,774
Graduate anayeanza kazi basic salary ni 860,000...Huyu hata cheo kimoja hana...jinyonge tu
njoo dar uone balaa la trafikijeshi la police arusha ni majanga plus traffic kila kona mpka vichochoroni kukamata magari ili wajipatie rushwa......traffic anakuja n private car yke anapaki mahali anaanza kukamata magari.....hivi mshahara laki 2 wanaoliopwa police unaweza nunua gari n kujenga nyumba yko plus nyumba za wapangaji........rushwa arusha ni zaidi y kipindupindu
njoo dar uone balaa la trafiki
Hatuzungumzii usomi wala nini tunataka kujua askari polisi wa kawaida hana miaka mitano kazini, ana nyumba self, ana nyumba za wapangaji, ana magari ya abiria tunaita vifodi ana gari yake ya kuembelea je mshahara wake na mikopo vinatosheleza kuwa na vitu vyote hivi??? Kuna watumishi wanafanya kazi miaka 40 wanakuja kujenga kibanda na hela za mafao, tuwe serious kwenye kuchangia hii mada.
Majuzi nilikuwa naenda Nairobi nikiwa speed ya kawaida kabisa hiyo hawa traffic wakanitia mikononi wakachukua lipesa langu..
Unachoongea ni kweli tupu mimi baba yangu RIP alikua Polis arusha akikamata mirungi basi jion yake utaona watu nyumbani wanakuja kuibebaPolisi wa Arusha ni wapiga deal wasiokuwa na wasiwasi!! Siku mirungi ikikamatwa ujue siku hyo ni zamu ya polisi kuuza
sasa hivi polisi wa Arusha kuanzia juzi wemeweka kituo pale Anex kwenye barabara inayotoka mianzini na nyingine inaingia stand ndogo,ukipita pale kunamsongamano wa magari kupita kiasi hivi hawa polisi hawaoni kama wanasumbua watu na magari?Na sasa barabara ya kwenda Tengeru - USA inajengwa sasa watahamia vichochoroni mara wako Njia ya themi hill sikummoja nikawakuta njiro kwa msola hahahahaha
kazi nzuri hiii hulali njaaaa kabisaaaa unachukuwa pesa za mtu kwanguvu tena bila uwoga. Fani zao tizama kitabu ni cha mwaka 2011 unatozewa fini siku niliona kwa mtu nikamwambia usilipe kitabu cha mwaka gani hata ukienda mahakamani watakushinda records zao za miaka 4 nyuma unakutoza fani mwaka 2016
hii ni kali ya mwaka.
Mkuu mbona kama ulikua 178Kph..au nimesoma vibaya hapo?Majuzi nilikuwa naenda Nairobi nikiwa speed ya kawaida kabisa hiyo hawa traffic wakanitia mikononi wakachukua lipesa langu..
Mshahara wa polisi sio laki mbili tafadhali , au unaongelea mwaka gani?Jeshi la Polisi Arusha ni majanga plus traffic kila kona mpaka vichochoroni kukamata magari ili wajipatie rushwa.
Traffic anakuja na private car yake anapaki mahali anaanza kukamata magari.
Hivi mshahara laki 2 wanaolipwa polisi unaweza nunua gari na kujenga nyumba yako plus nyumba za wapangaji.
Rushwa Arusha ni zaidi ya kipindupindu.
Sasa mkuu hiyo si speed mbuzi tuMkuu mbona kama ulikua 178Kph..au nimesoma vibaya hapo?