Rpc kilimanjaro afariki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rpc kilimanjaro afariki

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by The Priest, Jun 17, 2011.

 1. T

  The Priest JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 1,024
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Aliyekuwa mkuu wa polisi mkoa wa kilimanjaro Lucas ng'hoboko,amefariki ghafla wakati akikimbizwa hospital ya kcmc leo asbh,mkuu huyo wa polisi alikuwa amestaafu wiki 2 zilizopita na alikuwa bado hajakabidhi ofisi kwa RPC mpya..source Radio one.
   
 2. StaffordKibona

  StaffordKibona JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2011
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 671
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  RIP Paul
   
 3. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,290
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hakika kwa mwenyezi mungu sote tutarejea. R.I.P
   
 4. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #4
  Jun 17, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 7,346
  Likes Received: 446
  Trophy Points: 180
  Aristaaf kabla ya kukabidhi ofisi!
   
 5. T

  The Priest JF-Expert Member

  #5
  Jun 17, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 1,024
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  naambiwa alikuwa bado kwny hiyo nafasi ya rsp,na anayechukua nafas yake hajaripot kw ofisi,angalia nipashe la jana..
   
 6. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #6
  Jun 17, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,541
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Inakuwaje mpk mtu anastaafu hajatafutwa mtu mwinge wa kuchukua nafasi? au ndo yale yale ya fulani kutafutiwa nafasi..... huu ni upuuzi
   
Loading...