Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,765
- 218,387
Ngoja tusubiri tuone .Hamna kauli ya kujadili hapo. Asubiri 23/7 aone Bavicha tunaweza vizuri kazi ya polisi jamii ulinzi shilikishi
Kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma , Lazaro Mambosasa amesema mkutano wa ccm wa july 23 ni wa ndani wala hakuna tatizo lolote kwa kuwa mikutano ya ndani inaruhusiwa na kwamba jeshi hilo litawalinda wanaccm.
Kuhusu jeshi hilo kuzuia mikutano ya CHADEMA , Mambosasa alisema WALIZUIA BENDERA NA SI VINGINEVYO , na kuwa alitoa taarifa ikiwa kamili lakini WAANDISHI WALIPOTOSHA .
Chanzo - Mwananchi.
Nawaomba wapenda haki na amani wote tujadili kauli hii kwa marefu na mapana .

Kwa mujibu wa hayati Mtikila , bendera ni vitambaa tu wala hazina lolote , sasa ukitumia nguvu na mabomu kama yale kwa ajili ya bendera tu lazima dunia ishangae .Nakubalianabna Mambo sasa jamani benders za Chadema zinatisha ohooo
Hamna kauli ya kujadili hapo. Asubiri 23/7 aone Bavicha tunaweza vizuri kazi ya polisi jamii ulinzi shilikishi
Si walisema kulikuwa na ugonjwa wa kwenye ugali kwahiyo haikuwa sahihi wana Chadema wale ugali waugue ugonjwa usio julikana?Hii ya kuzuia bendera ni kali ya mwaka ....................!!!
Inaelekea Watanzania tunazidi kuwa mazuzu kadri miaka inavyokwenda!!
Viroba na simu za kichina simchezoHii ya kuzuia bendera ni kali ya mwaka ....................!!!
Inaelekea Watanzania tunazidi kuwa mazuzu kadri miaka inavyokwenda!!
mambo ya kishetani shetan tu hapa nchiniKamanda wa polisi mkoa wa Dodoma , Lazaro Mambosasa amesema mkutano wa ccm wa july 23 ni wa ndani wala hakuna tatizo lolote kwa kuwa mikutano ya ndani inaruhusiwa na kwamba jeshi hilo litawalinda wanaccm.
Kuhusu jeshi hilo kuzuia mikutano ya CHADEMA , Mambosasa alisema WALIZUIA BENDERA NA SI VINGINEVYO , na kuwa alitoa taarifa ikiwa kamili lakini WAANDISHI WALIPOTOSHA .
Chanzo - Mwananchi.
Nawaomba wapenda haki na amani wote tujadili kauli hii kwa marefu na mapana .
We jidanganye.Hamna kauli ya kujadili hapo. Asubiri 23/7 aone Bavicha tunaweza vizuri kazi ya polisi jamii ulinzi shilikishi