Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,572
- 217,931
Kuweweseka! Kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma, Lazaro Mambosasa amesema mkutano wa CCM wa July 23 ni wa ndani wala hakuna tatizo lolote kwa kuwa mikutano ya ndani inaruhusiwa na kwamba jeshi hilo litawalinda WanaCCM.
Kuhusu jeshi hilo kuzuia mikutano ya CHADEMA, Mambosasa alisema WALIZUIA BENDERA NA SI VINGINEVYO, na kuwa alitoa taarifa ikiwa kamili lakini WAANDISHI WALIPOTOSHA.
Chanzo - Mwananchi.
Nawaomba wapenda haki na amani wote tujadili kauli hii kwa marefu na mapana .