RPC Dodoma adai hawakuzuia mkutano wa CHADEMA, walichozuia ni bendera

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
116,434
215,207
Kuweweseka! Kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma, Lazaro Mambosasa amesema mkutano wa CCM wa July 23 ni wa ndani wala hakuna tatizo lolote kwa kuwa mikutano ya ndani inaruhusiwa na kwamba jeshi hilo litawalinda WanaCCM.

Kuhusu jeshi hilo kuzuia mikutano ya CHADEMA, Mambosasa alisema WALIZUIA BENDERA NA SI VINGINEVYO, na kuwa alitoa taarifa ikiwa kamili lakini WAANDISHI WALIPOTOSHA.

Chanzo - Mwananchi.

Nawaomba wapenda haki na amani wote tujadili kauli hii kwa marefu na mapana .
 
Kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma , Lazaro Mambosasa amesema mkutano wa ccm wa july 23 ni wa ndani wala hakuna tatizo lolote kwa kuwa mikutano ya ndani inaruhusiwa na kwamba jeshi hilo litawalinda wanaccm.

Kuhusu jeshi hilo kuzuia mikutano ya CHADEMA , Mambosasa alisema WALIZUIA BENDERA NA SI VINGINEVYO , na kuwa alitoa taarifa ikiwa kamili lakini WAANDISHI WALIPOTOSHA .

CCM inadumaza akili za watanzania. Ipingwe popote ilipo
 
Kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma , Lazaro Mambosasa amesema mkutano wa ccm wa july 23 ni wa ndani wala hakuna tatizo lolote kwa kuwa mikutano ya ndani inaruhusiwa na kwamba jeshi hilo litawalinda wanaccm.

Kuhusu jeshi hilo kuzuia mikutano ya CHADEMA , Mambosasa alisema WALIZUIA BENDERA NA SI VINGINEVYO , na kuwa alitoa taarifa ikiwa kamili lakini WAANDISHI WALIPOTOSHA .

Chanzo - Mwananchi.

Nawaomba wapenda haki na amani wote tujadili kauli hii kwa marefu na mapana .

Hii ya kuzuia bendera ni kali ya mwaka ....................!!!

Inaelekea Watanzania tunazidi kuwa mazuzu kadri miaka inavyokwenda!!
 
Hamna kauli ya kujadili hapo. Asubiri 23/7 aone Bavicha tunaweza vizuri kazi ya polisi jamii ulinzi shilikishi

Jidanganyeni tu ... Wenye chama wanakula kuku na mrija wewe kula kulala unajitia unataka kupambana na Dola....., unafikiri ukipoteza maisha Kwa jambo la kipuuzi ndugu zako watatunzwa na Chadema ....?
 
Kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma , Lazaro Mambosasa amesema mkutano wa ccm wa july 23 ni wa ndani wala hakuna tatizo lolote kwa kuwa mikutano ya ndani inaruhusiwa na kwamba jeshi hilo litawalinda wanaccm.

Kuhusu jeshi hilo kuzuia mikutano ya CHADEMA , Mambosasa alisema WALIZUIA BENDERA NA SI VINGINEVYO , na kuwa alitoa taarifa ikiwa kamili lakini WAANDISHI WALIPOTOSHA .

Chanzo - Mwananchi.

Nawaomba wapenda haki na amani wote tujadili kauli hii kwa marefu na mapana .
mambo ya kishetani shetan tu hapa nchini
 
Kwako ni la kipuuzi. Lakini Stefano alisimamia na kuufia ukweli na mwisho alipokelewa na Bwana Yesu. Wewe endelea kuubeza huo uamuzi wa hao ndugu
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom