RPC amsweka rumande OCD kwa rushwa

huyu Salim Msangi si ndio kaka wa Hemedi na Ahmed Msangi wale wauaji na wabakaji wa mabwe pande
 
Naona kitu kizito kilicho muua huyo kijana litakuwa ni bom la machozi baada ya kutuwa kichwani zimazima kabla ya kuyeyuka.
 
sasa iko wazi na wote tukubaliane kuwa CHADEMA ni chama cha aina gani na malengo yake ni yepi. kama kimethubutu kuua kikiwa hakina dola wakiwa nayo itakuwaje? Eti kuionesha jamii kuwa polisi wanawaua. huu si upumbavu? watu wanachekelea tu hiki chama lakini madhara yake watakuja yaona na wangejuta kwa makosa ambayo wangeyafanya (kama ingetokea)
 
Naona kitu kizito kilicho muua huyo kijana litakuwa ni bom la machozi baada ya kutuwa kichwani zimazima kabla ya kuyeyuka.
umeona wapi? acha ubabaishaji, mlisema kuwa polisi wamempiga risasi sasa mnakuja na single eti naona. upumbavu.
 
jogi, JAMBO USILOLIJUA NI SAWA NA USIKU WA GIZA.
Dr. Makata ni daktari wa jeshi wa masuala ya postmortem..ongea lingine!

NB: I am not supporting any violent acts or excessive use of force against citizens byt our police force...ila tusiseme mambo kiushabiki! tuongee ukweli nao utatuuweka huru!

Mentor ungejibu hoja yangu ya ulazima wa kumtoa daktari darisalam, hali ya kuwa morogoro madaktari wapo, au hao wa morogoro hawakubali kupokea maelekezo toka kwa kova?
kama unataka tukuamini, utatupa kumbukumbu mbaya ya nyongeza ya posho za madaktari kufanya postmortem.
 
Last edited by a moderator:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom