nasrimgambo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2017
- 1,920
- 2,530
Dah...hizi zilizokuwepo tu kuna wakati trafiki huwa "wanaziua" ili kupunguza foleni.... Kuna vitu vingine havihitaji kupigiwa kura[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]AGREE ...
1,CORNER YA BANDARI/T.I.A
2.Serengeti
3.BUGURUNI
4.MOROCCO/AIRTEL
5.CORNER YA KINONDONI /SALENDER BRIDGE /UBALOZI WA MAREKANI ZAMANI....itasaidia sana foleni kwa muda mfupi nk
Embu fikiria hizi scenarios mbili.Hazijawahi kuwepo mkuu haya ni mawazo mapya na yanafanya kazi sehemu nyingi….kwa mfano ile ROUND ABOUT YA NJIA YA CHINI PALE BAADA YA TRIPPLE SEVEN JIONI KUPUNGUZA FOLENI YA KUTOKA MJINI KWENDA MBEZI BEACH huwa wanaruhusu njia mbili kuvuta kwa ajili ya foleni
2. hata pale round about ya kwenda BP jioni wanavuta kutoka mjini lane mbili na asubuhi wanavuta kuja mjini kuondoa jam LAKINI INASAIDIA SANA LETS BE POSITIVE AT TIMES
Imekuwa shida sana hapa Mwenge askari wameishiwa maarifa bora zibaki taaEmbu fikiria hizi scenarios mbili.
Ya kwanza ni Traffic avute dakika 10 kwa wanaotoka mjini,
Kisha aje avute dakika 10 kwa wanaotoka mlimani city,
Aje avute dakika 10 kwa wanaotoka Mbezi/Tegeta,
Na aje amalizie dakika 10 kwa wanaotoka Coca-Cola na clouds.
Scenario ya pili ni pawe na round about kisha uhesabu gari zitakazofikia huo mzunguko ndani ya dakika 40.
Wapi unadhani zitapita gari nyingi?
Dah... siku ukipata muda...kafanye uchunguzi... chanzo cha hiyo jam kinachosababisha zivutwe njia mbili[emoji41]Hazijawahi kuwepo mkuu haya ni mawazo mapya na yanafanya kazi sehemu nyingi….kwa mfano ile ROUND ABOUT YA NJIA YA CHINI PALE BAADA YA TRIPPLE SEVEN JIONI KUPUNGUZA FOLENI YA KUTOKA MJINI KWENDA MBEZI BEACH huwa wanaruhusu njia mbili kuvuta kwa ajili ya foleni
2. hata pale round about ya kwenda BP jioni wanavuta kutoka mjini lane mbili na asubuhi wanavuta kuja mjini kuondoa jam LAKINI INASAIDIA SANA LETS BE POSITIVE AT TIMES
Naona Morroco ni padogo sana.AGREE ...
1,CORNER YA BANDARI/T.I.A
2.Serengeti
3.BUGURUNI
4.MOROCCO/AIRTEL
5.CORNER YA KINONDONI /SALENDER BRIDGE /UBALOZI WA MAREKANI ZAMANI....itasaidia sana foleni kwa muda mfupi nk
Dah...hata matumizi ya taa yana mwisho kutokana na wingi wa magari na muelekeo wake ndiyo maana inabidi awepo askari "anayetumia akili" afanye kazi ya mataa yanayotumia timers...Imekuwa shida sana hapa Mwenge askari wameishiwa maarifa bora zibaki taa
kwa kweli waweke mabati yale ya wachina maana mbona ubungo kila mtu anafurahia kuwa round about ile ya mabati imesaidia sana!!Labda wafanye kama experiment kwa kuweka ya mabati temporarily ili kuona outcome itakuwaje
Mkuu fanya ku imagine tu kichwaniJamani Picha ya round about ya mabati tuione tuliohuku buzirankende
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani Picha ya round about ya mabati tuione tuliohuku buzirankende
Sent using Jamii Forums mobile app
Saikolojia ya foleni inasema aliyepanga foleni haoni shida kubwa sana kukaa foleni kama foleni itakuwa inasogea hata kama ni taratibu yaani ukiona wa mbele yako anasogea. Shida ya askari atavuta gari za kutoka mjini kwa nusu saa (mfano jana) wakati unayetoka CocaCola au Ubungo umekaa tu. Lakini ikiwa ni taa inaogoza utakuwa unasogea kidogo kidogo angalau kila baada ya muda mfupi hivyo kupata ahueni ya kisaikolojia.Dah...hata matumizi ya taa yana mwisho kutokana na wingi wa magari na muelekeo wake ndiyo maana inabidi awepo askari "anayetumia akili" afanye kazi ya mataa yanayotumia timers...
Lakini Kama kungekuwepo na mataa yanayotumia akili...Kama yajue urefu wa folen, Kasi ya magari na uelekeo wake, yaweze yawasiliane na mataa ya karibu yake...Basi kusingekuwa na haja ya askari[emoji41]
Sent using Beretta ARX 160