Gwanggaeto the Great
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 896
- 1,926
Siku wakianza kuchapwa usije hapa kuwalilia Kama ulivyomlilia Saddam.Safi...wewe ni kidume babaa
Kwa jinsi ulivyo na mahaba na USA UNAWEZA kusema ata Tz kanyweA, mm sikulaumuUrusi alinywea
NKorea kanywea
China kanywea
Nyinyi wavaa pedo tunawapa Israel tu
waoga sana. Wananchi hawawapendi kabisa. Wanabana kila kona. Wameshindwa kudeliver hata walipoondolewa vikwazo vya uchumi. Wairani wanataka kuwa huruRouhani :U.S watapata Majuoto ya Kihistoria
Kiongozi wa Iran Hassan Rouhani Amesema Marekani watajuta endapo wataamua kuutupilia mbali mkataba wa Nyuklia wa mwaka 2015 amesema wako tayari kukabiliana na Hatua zozote zitakazochukuliwa na U.S
Rouhani :U.S watapata Majuoto ya Kihistoria
Kiongozi wa Iran Hassan Rouhani Amesema Marekani watajuta endapo wataamua kuutupilia mbali mkataba wa Nyuklia wa mwaka 2015 amesema wako tayari kukabiliana na Hatua zozote zitakazochukuliwa na U.S
Wakianza kubomolewa mnarudi hapa kulalamika USA ni mwonevu sana, Rouhani achague maneno yake kwa umakini sana.Safi...wewe ni kidume babaa
Hawa nao huwa wanajipaga moyo na wenyewe duh..Rouhani :U.S watapata Majuoto ya Kihistoria
Kiongozi wa Iran Hassan Rouhani Amesema Marekani watajuta endapo wataamua kuutupilia mbali mkataba wa Nyuklia wa mwaka 2015 amesema wako tayari kukabiliana na Hatua zozote zitakazochukuliwa na U.S
Pole sanaSiku wakianza kuchapwa usije hapa kuwalilia Kama ulivyomlilia Saddam.
Shock and Awe ikianza utasikia wanaanza kulialia hapa.Siku wakianza kuchapwa usije hapa kuwalilia Kama ulivyomlilia Saddam.
Siku wakianza kuchapwa usije hapa kuwalilia Kama ulivyomlilia Saddam.