Rough estimations. Nyumba ya ramani hii

Kwa maoni yangu kuhusu ramani hii. Naiona ni nzuri japo ina mapungufu kadhaa. Kwanza family bath/toilet ningeibadili na kufanya store ya jikoni. Pili ningepunguza ukubwa wa bath/toilet ya bedroom 1 na kuigawa nipate family bath. Kingine mbona naona ukubwa wa sitting room upo sawa na dinning room?
 
Kosa kubwa lipo katika choo..nyumba za kiafrika huwezi weka choo Jikoni
 
Duh yani jiko na bafu ni pua na mdomo!!! Kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Very professional analysis.
 
Naomba namba yako
 
Hapo kwenye ramani sijahafiki kabisa hasa nilivoona choo na jiko???angalau porch ndo ikakae huko kweny toilet lakin sio jikoni na chooni kweliii??
 
Uko njema sana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…