Mbavu za Mbwa
JF-Expert Member
- Jan 2, 2011
- 303
- 154
nicheck 0715477041
Mkuu nimekupata. Ngoja nifanye marekebishoYan ivo tu mtu anaweza akajua idadi ya matofali bila kuona floor plan yote, vyumba vingapi koridos na mengineyo
Japo si mtaalam lakini nahisi more details zinahitajika
Ngoja wenyewe waje
sawa mkuu, unapokuja kwenye suala zima la ukadiriaji majengo kuna vitu vingi vya kuzingatia, mfano ukubwa wa nyumba kwa nje, kuta za ndani ( inategemea na jinsi ramani ilivyo) pamoja na uwazi( mfano saizi za milango na madirisha) kwa hiyo bila kuwa na maelezo kamili waweza pata makadirio yasiyotosheleza au yaliyozidi sana.Mkuu tutakucheki wangapi maana wengine tunapata maujanja hapahapa so funguka hapahapa
Kuna thread inaitwa ujenzi bora wa nyumba kwenye jukwaa la matangazo. Mtafute atakusaidiaKwenu wataalamu wa ujenzi au wazoefu wa ujenzi.
Kwa floor plan ya nyumba yenye urefu wa mita 13 na upana wa mita 12 (Mita za mraba 156) ni matofali mangapi yatatumika kujengea msingi?
Nyumba iwe na vyumba vitatu vya kulala, kati ya hivyo kimoja kiwe self contained. Iwe na sitting room moja na dinning room moja pia. Na pia stoo moja na public toilet na bafu moja na jiko pia. Na matofali mangapi yatatumika kujenga boma? Katika ardhi ambayo ni tambarare kabisa.
Nataka kujaribu kujenga, nyumba ya kupanga naona itaniua.
Kwenu wataalamu wa ujenzi au wazoefu wa ujenzi.

Swali lako zuri sana nimelipendaje mieKwenu wataalamu wa ujenzi au wazoefu wa ujenzi.
Kwa floor plan ya nyumba yenye urefu wa mita 13 na upana wa mita 12 (Mita za mraba 156) ni matofali mangapi yatatumika kujengea msingi?
Nyumba iwe na vyumba vitatu vya kulala, kati ya hivyo kimoja kiwe self contained. Iwe na sitting room moja na dinning room moja pia. Na pia stoo moja na public toilet na bafu moja na jiko pia. Na matofali mangapi yatatumika kujenga boma? Katika ardhi ambayo ni tambarare kabisa.
Nataka kujaribu kujenga, nyumba ya kupanga naona itaniua.
Mkuu jajcom tayari floor plan nimeshaiweka ktk post yangu.Mkuu weka floor plan nikupe mchanganuo wote, lakini pia Kama inawezekana pigs picha eneo husika ili niweze kuona site condition ( slope, elevations etc).
Lakini Kama hautaweza kutuma picha ya site basi elezea muonekano wa eneo Kama ni tambarare, mwinuko n.k
Hiyo ramani sikushauri. Ina makosa mengi sana badilisha mchoraji
Kweli kabisa huwezi kuweka choo na jiko viingiliane hivyo. Isitoshe MTU anatoka nje anapitia jikoniKweli . Ramani haifai . Hizo bedroom mbili ukitaka kwenda chooni /bafuni unapitia jikoni . Zima jiko acha kupika naenda kujisaidia !
Mmh! hiyo ramani mbona ina makosa au mimi ndo sioni vizuri? Ukitaka kuingia bafuni na chooni unaingilia jikoni?
Hiyo ramani sikushauri. Ina makosa mengi sana badilisha mchoraji
Kweli . Ramani haifai . Hizo bedroom mbili ukitaka kwenda chooni /bafuni unapitia jikoni . Zima jiko acha kupika naenda kujisaidia !
Kweli kabisa huwezi kuweka choo na jiko viingiliane hivyo. Isitoshe MTU anatoka nje anapitia jikoni
Nadhani hapo jikoni palipoandikwa BATH panatakiwa kuwa STOREMmh! hiyo ramani mbona ina makosa au mimi ndo sioni vizuri? Ukitaka kuingia bafuni na chooni unaingilia jikoni?
Dogo umejitahidi.... Haya mpe invoice ya kaxi uliyofanya... Mwambie pia michoro bado haitoshi... Akupe sections na elevations ili ukadiriaji use wa uhakika zaidi....Japokuwa ramani haina vipimo vyote, nitaribu kuestimate kulingana na vipimo vilivyopo pamoja na assumptions.
Tutaangalia idadi ya tofali za msingi an idadi ya tofali za kuta
HATUA YA KWANZA
Kutafuta urefu wa ukuta tambarare/horizontally (lengths, L)
Nimepata L = 72.02m
Kutafuta urefu wa msingi/vertically (height, H). Assume msingi utaingia ardhini (deep) kwa urefu wa 0.4m na kutoka kwenye ground level mpaka ukuta unapoanzia ni 0.4m, kwa hiyo total height ya msingi itakuwa ni 0.4m + 0.4m = 0.8m
Hf = 0.8m
Kutafuta eneo la msingi (Area of foundation), Af = L x Hf = 72.02 x 0.8 = 57.62sqm
HATUA YA PILI
Size ya tofali za block (dimensions of block) = length, L x Height, H x widths, W = 0.46 x 0.23 x 0.15
Kwa sababu kwenye msingi tofali zitalala, dimension zake zitakuwa = H x W = 0.46 X 0.15 ili kupata eneo la tofali (area of block)
Kutafuta eneo la tofali zkiwa zimelala (Area of block) Ab = 0.46 x 0.15 = 0.069sqm
Kupata idadi ya tofali za msingi = area of foundation ÷ area of block = 57.62 ÷ 0.069 = 835
Idadi ya tofali za msingi ni 835
HATUA YA TATU
Urefu wa kuta kuanzia mwisho wa msingi mpaka kwenye paa (lenghs, L) kawaida inakuwa ni 3.1m.
L = 3.1m.
Area of walls = L x H = 72.02 x 3.1 = 223.3sqm (kumbuka katika hili eneo limejumuisha madirisha na milango)
Kwa hiyo tunatakiwa kutafuta eneo la milango na madirisha tuweze kutoa kwenye eneo letu la 223.3sqm
MADIRISHA,
Japokuwa hayana vipimo lakini nitaweka vipimo kulingana na uzoefu wangu na layout ya madirisha kwenye floor plan
Kuna madirisha 6 yanalingana, yaani madirisha matatu ya vyumbani, madirisha mawili ya dinning na dirisha 1 la living room, kwa hiyo nayapa herufi W1,
W1 = L x H = 2 X 1.5 = 3 x 6 (idadi ya dirisha) = 18sqm
Kuna madirisha mengine mawili yanalingana, yaani dirisha la jikoni na dirisha la living room. Kwa hiyo nayapa herufi W2,
W2 = L x H = 1 X 1.5 = 1.5 x 2 (idadi ya dirisha) = 3sqm
Kuna dirisha 1 la chooni, D3
W3 = L x H = 0.7 x 0.8 = 0.56sqm
Jumla ya eneo la madirisha W = W1 + W2 + W3 = 18 +3 + 0.72 = 21.56sqm
MILANGO
Kuna milango minne inalingana, yaani mlango wa jikoni na milango mitatu ya vyumbani, D1
D1 = L x H = 0.9 X 2.1 = 1.89 x 4 (idadi ya dirisha) = 7.56sqm
Kuna milango miwili ya chooni inalingana, D2
D2 = L x H = 0.8 X 2.1 = 1.68 x 2 (idadi ya dirisha) = 3.36sqm
Kuna mlango mmoja wa kuingilia living room, D3
D2 = L x H = 1 X 2.1 = 2.1sqm
Jumla ya eneo la milango D = D1 + D2 + D3 = 7.56 + 3.36 + 2.1 = 13.02sqm
Jumla ya eneo la milango na madirisha (total area occupied by windows and doors) = D + W = 21.56 + 13.02 = 34.58sqm
ACTUAL AREA OF WALLS (eneo halisi la ukuta) = eneo la kuta – jumla ya eneo la madirisha na milango = 223.3 – 34.58 = 188.72sqm
HATUA YA NNE
Eneo (area) la Size ya tofali za kuta zikiwa zimesimama/dimensions = L x H = 0.46 x 0.23 = 0.1058sqm
Idadi ya tofali za kuta (no. of blocks) AB = actual area of walls (eneo halisi la ukuta) ÷ eneo la tofali zikiwa zimesimama = 188.72 ÷ 0.1058 = 1784
Idadi ya tofali za kuta ni 1784
Jumla ya idadi ya tofali zote = tofali za msingi + tofali za kuta = 835 + 1784 = 2617
NB: Unaweza kuweka makadirio ya tofali 3,000 kwa sababu nyumba inaweza kuwa na anamu (roof gable) pamoja na kufidia matofali yatakayobomoka.
MWISHO
Kwa ujumla ramani ya nyumba ni nzuri lakini inamapungufu baadhi ambayo yanahitaji kurekebishwa wakati wa ujenzi.
1. Hakikisha choo cha kwenye master bedroom kinawekewa dirisha dogo kwa ajili ya mzunguko wa hewa (ventilation)
2. Hakikisha mlango wa public toilet unaangalia dinning, iwepo corridal ndogo ambayo mtu anaingia kabla hajaingia toilet ili kuzuia harufu kuja ndani, kwa hiyo mbele ya public toilet weka ukuta mwingine ili mtu anapokuwa dinning/living room asione moja kwa moja mlango wa kuingilia toilet, yaani iwekwe corridal ndogo (hayo ni mawazo yangu tu)
3. Lakini hakikisha unawekwa ukuta wa kutenganisha kitchen an dinning room ila linawekwa dirisha dogo pamoja na mlango wa kuingilia dinning, hii itasaidia kuwepo na privacy baina ya hizo sehemu mbili. (wazo tu)
Naomba kuwasilisha
Japokuwa ramani haina vipimo vyote, nitaribu kuestimate kulingana na vipimo vilivyopo pamoja na assumptions.

HONGERA ZAKO.Japokuwa ramani haina vipimo vyote, nitaribu kuestimate kulingana na vipimo vilivyopo pamoja na assumptions.