Rough estimations. Nyumba ya ramani hii

Rough estimations. Nyumba ya ramani hii

Mbavu za Mbwa

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2011
Posts
303
Reaction score
154
Kwenu wataalamu wa ujenzi au wazoefu wa ujenzi.

Kwa floor plan ya nyumba yenye urefu wa mita 13 na upana wa mita 12 (Mita za mraba 156) ni matofali mangapi yatatumika kujengea msingi?

Nyumba iwe na vyumba vitatu vya kulala, kati ya hivyo kimoja kiwe self contained. Iwe na sitting room moja na dinning room moja pia. Na pia stoo moja na public toilet na bafu moja na jiko pia. Na matofali mangapi yatatumika kujenga boma? Katika ardhi ambayo ni tambarare kabisa.

Nataka kujaribu kujenga, nyumba ya kupanga naona itaniua.

ra4.jpg
 
Yan ivo tu mtu anaweza akajua idadi ya matofali bila kuona floor plan yote, vyumba vingapi koridos na mengineyo

Japo si mtaalam lakini nahisi more details zinahitajika

Ngoja wenyewe waje
 
Mkuu nimekupata. Ngoja nifanye marekebisho
 
Mkuu tutakucheki wangapi maana wengine tunapata maujanja hapahapa so funguka hapahapa
sawa mkuu, unapokuja kwenye suala zima la ukadiriaji majengo kuna vitu vingi vya kuzingatia, mfano ukubwa wa nyumba kwa nje, kuta za ndani ( inategemea na jinsi ramani ilivyo) pamoja na uwazi( mfano saizi za milango na madirisha) kwa hiyo bila kuwa na maelezo kamili waweza pata makadirio yasiyotosheleza au yaliyozidi sana.
 
Kwenu wataalamu wa ujenzi au wazoefu wa ujenzi.

Kwa floor plan ya nyumba yenye urefu wa mita 13 na upana wa mita 12 (Mita za mraba 156) ni matofali mangapi yatatumika kujengea msingi?

Nyumba iwe na vyumba vitatu vya kulala, kati ya hivyo kimoja kiwe self contained. Iwe na sitting room moja na dinning room moja pia. Na pia stoo moja na public toilet na bafu moja na jiko pia. Na matofali mangapi yatatumika kujenga boma? Katika ardhi ambayo ni tambarare kabisa.

Nataka kujaribu kujenga, nyumba ya kupanga naona itaniua.
Kuna thread inaitwa ujenzi bora wa nyumba kwenye jukwaa la matangazo. Mtafute atakusaidia
 
Kwenu wataalamu wa ujenzi au wazoefu wa ujenzi.

Kwa floor plan ya nyumba yenye urefu wa mita 13 na upana wa mita 12 (Mita za mraba 156) ni matofali mangapi yatatumika kujengea msingi?

Nyumba iwe na vyumba vitatu vya kulala, kati ya hivyo kimoja kiwe self contained. Iwe na sitting room moja na dinning room moja pia. Na pia stoo moja na public toilet na bafu moja na jiko pia. Na matofali mangapi yatatumika kujenga boma? Katika ardhi ambayo ni tambarare kabisa.

Nataka kujaribu kujenga, nyumba ya kupanga naona itaniua.

Maelezo yako pungufu, ulitakiwa kusema kiwanja chako ni cha aina gani, tambarare au kina slope, pia kiwanja chako kiko kwenye mfinyanzi, kichanga au mawe?

Pia hujasema unataka msingi wa tofali za nchi sita au tano
 
Kwenu wataalamu wa ujenzi au wazoefu wa ujenzi.

Kwa floor plan ya nyumba yenye urefu wa mita 13 na upana wa mita 12 (Mita za mraba 156) ni matofali mangapi yatatumika kujengea msingi?

Nyumba iwe na vyumba vitatu vya kulala, kati ya hivyo kimoja kiwe self contained. Iwe na sitting room moja na dinning room moja pia. Na pia stoo moja na public toilet na bafu moja na jiko pia. Na matofali mangapi yatatumika kujenga boma? Katika ardhi ambayo ni tambarare kabisa.

Nataka kujaribu kujenga, nyumba ya kupanga naona itaniua.
Swali lako zuri sana nimelipendaje mie
 
Mkuu weka floor plan nikupe mchanganuo wote, lakini pia Kama inawezekana pigs picha eneo husika ili niweze kuona site condition ( slope, elevations etc).
Lakini Kama hautaweza kutuma picha ya site basi elezea muonekano wa eneo Kama ni tambarare, mwinuko n.k
 
Mkuu jajcom tayari floor plan nimeshaiweka ktk post yangu.

Kiwanja kipo eneo tambarare kabisa na nature ya udongo ni kichanga (Sandy). Na msingi (foundation) nategemea iwe ya matofali ya brock
 
Hiyo ramani sikushauri. Ina makosa mengi sana badilisha mchoraji
 
Kweli . Ramani haifai . Hizo bedroom mbili ukitaka kwenda chooni /bafuni unapitia jikoni . Zima jiko acha kupika naenda kujisaidia !
Kweli kabisa huwezi kuweka choo na jiko viingiliane hivyo. Isitoshe MTU anatoka nje anapitia jikoni
 
Mmh! hiyo ramani mbona ina makosa au mimi ndo sioni vizuri? Ukitaka kuingia bafuni na chooni unaingilia jikoni?
Hiyo ramani sikushauri. Ina makosa mengi sana badilisha mchoraji
Kweli . Ramani haifai . Hizo bedroom mbili ukitaka kwenda chooni /bafuni unapitia jikoni . Zima jiko acha kupika naenda kujisaidia !
Kweli kabisa huwezi kuweka choo na jiko viingiliane hivyo. Isitoshe MTU anatoka nje anapitia jikoni

Wakuu, asanteni sana. Huu ndio uzuri wa kuwashirikisha watu.
Asanteni kwa mara nyingine tena
 
Japokuwa ramani haina vipimo vyote, nitaribu kuestimate kulingana na vipimo vilivyopo pamoja na assumptions.

Tutaangalia idadi ya tofali za msingi an idadi ya tofali za kuta

HATUA YA KWANZA

Kutafuta urefu wa ukuta tambarare/horizontally (lengths, L)

Nimepata L = 72.02m

Kutafuta urefu wa msingi/vertically (height, H). Assume msingi utaingia ardhini (deep) kwa urefu wa 0.4m na kutoka kwenye ground level mpaka ukuta unapoanzia ni 0.4m, kwa hiyo total height ya msingi itakuwa ni 0.4m + 0.4m = 0.8m

Hf = 0.8m

Kutafuta eneo la msingi (Area of foundation), Af = L x Hf = 72.02 x 0.8 = 57.62sqm

HATUA YA PILI

Size ya tofali za block (dimensions of block) = length, L x Height, H x widths, W = 0.46 x 0.23 x 0.15

Kwa sababu kwenye msingi tofali zitalala, dimension zake zitakuwa = H x W = 0.46 X 0.15 ili kupata eneo la tofali (area of block)

Kutafuta eneo la tofali zkiwa zimelala (Area of block) Ab = 0.46 x 0.15 = 0.069sqm

Kupata idadi ya tofali za msingi = area of foundation ÷ area of block = 57.62 ÷ 0.069 = 835

Idadi ya tofali za msingi ni 835

HATUA YA TATU

Urefu wa kuta kuanzia mwisho wa msingi mpaka kwenye paa (lenghs, L) kawaida inakuwa ni 3.1m.

L = 3.1m.

Area of walls = L x H = 72.02 x 3.1 = 223.3sqm (kumbuka katika hili eneo limejumuisha madirisha na milango)

Kwa hiyo tunatakiwa kutafuta eneo la milango na madirisha tuweze kutoa kwenye eneo letu la 223.3sqm

MADIRISHA,

Japokuwa hayana vipimo lakini nitaweka vipimo kulingana na uzoefu wangu na layout ya madirisha kwenye floor plan

Kuna madirisha 6 yanalingana, yaani madirisha matatu ya vyumbani, madirisha mawili ya dinning na dirisha 1 la living room, kwa hiyo nayapa herufi W1,

W1 = L x H = 2 X 1.5 = 3 x 6 (idadi ya dirisha) = 18sqm

Kuna madirisha mengine mawili yanalingana, yaani dirisha la jikoni na dirisha la living room. Kwa hiyo nayapa herufi W2,

W2 = L x H = 1 X 1.5 = 1.5 x 2 (idadi ya dirisha) = 3sqm

Kuna dirisha 1 la chooni, D3

W3 = L x H = 0.7 x 0.8 = 0.56sqm

Jumla ya eneo la madirisha W = W1 + W2 + W3 = 18 +3 + 0.72 = 21.56sqm

MILANGO

Kuna milango minne inalingana, yaani mlango wa jikoni na milango mitatu ya vyumbani, D1

D1 = L x H = 0.9 X 2.1 = 1.89 x 4 (idadi ya dirisha) = 7.56sqm

Kuna milango miwili ya chooni inalingana, D2

D2 = L x H = 0.8 X 2.1 = 1.68 x 2 (idadi ya dirisha) = 3.36sqm

Kuna mlango mmoja wa kuingilia living room, D3

D2 = L x H = 1 X 2.1 = 2.1sqm

Jumla ya eneo la milango D = D1 + D2 + D3 = 7.56 + 3.36 + 2.1 = 13.02sqm

Jumla ya eneo la milango na madirisha (total area occupied by windows and doors) = D + W = 21.56 + 13.02 = 34.58sqm

ACTUAL AREA OF WALLS (eneo halisi la ukuta) = eneo la kuta – jumla ya eneo la madirisha na milango = 223.3 – 34.58 = 188.72sqm

HATUA YA NNE

Eneo (area) la Size ya tofali za kuta zikiwa zimesimama/dimensions = L x H = 0.46 x 0.23 = 0.1058sqm

Idadi ya tofali za kuta (no. of blocks) AB = actual area of walls (eneo halisi la ukuta) ÷ eneo la tofali zikiwa zimesimama = 188.72 ÷ 0.1058 = 1784

Idadi ya tofali za kuta ni 1784

Jumla ya idadi ya tofali zote = tofali za msingi + tofali za kuta = 835 + 1784 = 2617

NB: Unaweza kuweka makadirio ya tofali 3,000 kwa sababu nyumba inaweza kuwa na anamu (roof gable) pamoja na kufidia matofali yatakayobomoka.

MWISHO

Kwa ujumla ramani ya nyumba ni nzuri lakini inamapungufu baadhi ambayo yanahitaji kurekebishwa wakati wa ujenzi.

1. Hakikisha choo cha kwenye master bedroom kinawekewa dirisha dogo kwa ajili ya mzunguko wa hewa (ventilation)

2. Hakikisha mlango wa public toilet unaangalia dinning, iwepo corridal ndogo ambayo mtu anaingia kabla hajaingia toilet ili kuzuia harufu kuja ndani, kwa hiyo mbele ya public toilet weka ukuta mwingine ili mtu anapokuwa dinning/living room asione moja kwa moja mlango wa kuingilia toilet, yaani iwekwe corridal ndogo (hayo ni mawazo yangu tu)

3. Lakini hakikisha unawekwa ukuta wa kutenganisha kitchen an dinning room ila linawekwa dirisha dogo pamoja na mlango wa kuingilia dinning, hii itasaidia kuwepo na privacy baina ya hizo sehemu mbili. (wazo tu)

Naomba kuwasilisha
 
Dogo umejitahidi.... Haya mpe invoice ya kaxi uliyofanya... Mwambie pia michoro bado haitoshi... Akupe sections na elevations ili ukadiriaji use wa uhakika zaidi....
Pia naona umeasume nyumba ina 3. 1 headroom ukasahau kuwa kuna beam inaua coz moja ya tofali... Not bad though.
 
Asante sana mdau. Aisee! !

NASHUKURU SANA
 
HONGERA ZAKO.
HII NDIO MOJA YA FAIDA YA JF
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom