----Da #farkhina asante kwa mapishi, mie hupika sana mbatata jap hupenda kuzila na rosti la nyama ila leo nimejifunza style mpya!
Nauliza pale mwanzoni viazi unavikaanga na mafuta si ndio au sijaelewa??nimependa upishi huu
Miye huwa nakaanga rosti vizuri halaf viazi sikaangi huviweka baada ya rosti kukaribia kuiva kisha nikafunika hadi vyote vikaiva.ila ntajaribu hii style ya kukaanga kwanza viazi nimeipenda
farkhina weekend hii nataka nipike hii kitu...
Kwa kuongeza ladha katika hiyo roast ya viazi kwa wale waliopo TZ unaweza ukaongeza Onga Mchuzi Mix katika rojo la roast na wale wa mamtoni basi mnaweza kutumia chengachenga za Beef au Chicken bouillon(sina uhakika km s'markets za TZ wanayo hii)...
ahsante, nitalifanyia kazi hili somo nikipata wasaa.
Mahitaji
***kwa ajili ya roast***
Viazi 4 vikubwa katakata round
Nyanya 2 kubwa katakata
Kitunguu maji 1 kikubwa
Kitunguu saumu 1 tablespoon...
Tangawizi 1 tablespoon..
Bizar ya pilau 1/2 teaspoon
Mdalasini 1/2 teaspoon
Curry powder 1/2 teaspoon (sio lazima)
Nyanya ya kopo 1..
Pilipili mboga 1
Karot 1
Chumvi kiasi
Limau 1
Namna ya kutaarisha
Kaanga viazi vikiwiva weka pembeni..
Katika sufuria kaanga kitunguu maji
Kwa dakika 10
Weka pilipili mboga na karot
Kaanga vikivaribia kuwiva weka nyanya kaanga vizuri
Weka nyanya ya kopo na limau
Ikiwiva weka viazi vichanganyike na rosti...taratibu viazi visivurugike
Epua
***Samaki wa kukaanga ***
Mahitaji
Samaki wa vipande
Pilipili ya kuasha kiasi upendacho
Pilipili manga 1 teaspoon
Tangawizi 1 teaspoon
Kitunguu saumu 1 teaspoon
Chumvi kiasi
Namna ya kutaarisha
Safisha vizur samaki wako
Mueke viungo vyote...muaxhe 30 min _-1 hour ili akolee viungo
Weka pan yako mafuta
Kaanga samaki
Akiwiva weka kwenye bakuli lako la mchuzi mimina roasti ya viazi juu yake...
Tayar kwa kuliwa
Yaani ni cha kawaida sana.. Thanx my dear..
Thanks da fa. Apo kwa kuongezea wanaopenda mabilingani, pia unakata round bila kumenya maganda.
Na samaki wa vipande au hata mzima sio mbaya. Km changu.
Mie hupenda changu au nguru
Da #farkhina asante kwa mapishi, mie hupika sana mbatata jap hupenda kuzila na rosti la nyama ila leo nimejifunza style mpya!
Nauliza pale mwanzoni viazi unavikaanga na mafuta si ndio au sijaelewa??nimependa upishi huu
Miye huwa nakaanga rosti vizuri halaf viazi sikaangi huviweka baada ya rosti kukaribia kuiva kisha nikafunika hadi vyote vikaiva.ila ntajaribu hii style ya kukaanga kwanza viazi nimeipenda
Kah bonge la msosi asante
Yeah unakaanga viazi na mafuta kwanza then unaweka pembeni
Asante da Fa'
Yuko wapi?