Luqman mohamedy JF-Expert Member Joined Jul 24, 2016 Posts 899 Reaction score 1,232 Aug 17, 2018 #1 Tumalize ubishi jamani nani wakali?? Tumeona Vijana watamaduni wanawatupia maneno Rostam kama waimba ngonjera wakati rostam wakijibu wao wanafanya biashara miziki ya kusifiwa magetoni washaacha. Tukieka pembeni matambo nani wakali??
Tumalize ubishi jamani nani wakali?? Tumeona Vijana watamaduni wanawatupia maneno Rostam kama waimba ngonjera wakati rostam wakijibu wao wanafanya biashara miziki ya kusifiwa magetoni washaacha. Tukieka pembeni matambo nani wakali??
Kanungila Karim JF-Expert Member Joined Apr 29, 2016 Posts 20,746 Reaction score 25,639 Aug 17, 2018 #2 Parapanda
The Crushing JF-Expert Member Joined Apr 27, 2018 Posts 569 Reaction score 903 Aug 17, 2018 #3 kusifiwa magetoni waliisha acha..
Al-Watan JF-Expert Member Joined Apr 16, 2009 Posts 11,891 Reaction score 14,596 Aug 17, 2018 #4 Mpambano kati ya hip hop na bongofleva, kila mtu kashinda upande wake.