Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,175
- 43,936
Kaka - Napenda kuchapa makala zako na kuziacha kwenye daladala lakini ukiandika kwa kimombo nashindwa cos will be wastage of resources. Please consider.
asante sana
CCM bila Rostam Aziz Haiwezekani, Haipo, Ni Mfu...
At the moment Rostam Aziz is the Ruling Party and the proxy President Of the United Republic Of Tanzania ...
Rostam Aziz akijitoa ndani ya CCM na ndani ya Serikali, hii nchi haitakalika (Trust me Mwanakijiji)!
Sikio la kufa halisikii dawa sasa hilo sikio la kufa ni CCM na it is within humo CCM, hivi think and think logically PINDA anaweza kuanzia wapi kumwambia ROSTAM ajiuzulu think, think and think againHakuna sikio lisiloweza kusikia sauti nyingi zinazopazwa kwa pamoja. Let us stage
MMM.... I agree with your call and I second it 100%; my only concern is, CCM cream had lost its moral and social responsibilities long ago even to wake up; its like marehemu after arobaini... Yeyote anayehoji anaitwa kiburi, mpinzani, mchochezi, cyber army, crusader etc. instead of looking at their shoulders, they keep calling names to anyone opposing their ideas.
It is funny that they cant even notice that the tone people use these days are not harmonious whatsoever, tunabwabwaja (according to them!), hii ni sign ya frustrated community... they cant see all these
Back to Rostam, he is a pioneer of whatever we see now, he knew politics ilikua ni ya waliokosa (sawa na MEMKWA).. he slotted his cards and won BINGO
Hataondoka hadi aondolewe, amelewa, amekuwa Mungu-Mtu, hasomi, hasikilizi kwani ana wanafunzi na watumishi wake... ana malaika wake na pia ana mashetani wake (ambao ni sisi)... anaamini yeye ndio ajuaje destiny yetu sisi kama mashetani, na ya malaika wake (tena mtoa roho wake akiwa William Ngeleja)
Haya ni maoni yangu binafsi...
INAUMA SANA UCHUNGU!!!
Ooh,mazee kumbe umekopy na kupaste from newspaper.
you know there different between KNOWING WHAT YOU ARE TALKING AND JUST TALKING.
I mean lyke parrot..realy ticks me off ..is this east africa newspaper our knew costitution now in which we must follow?
Make do with some CONCRETE EVIDENCE guys instead of yapping,whinning lyke a bloody parrot.
Every accused person is innocent until proved otherwise and it is not for the accused to prove his/her inoccense but it is up to the accuser to prove without leaving any doubt