Wadaiwa wote hao ni wanachama wa ccm na wengi wao ni viongozi wa serikali ya ccm. Ama kweli rushwa na ufisadi ni sera ya kudumu ya ccm. Ole wao mafisadi mwaka huu mtakiona cha moto, ngoja Dr. Slaa aingie ikulu, mtajuuuuta kumfahamu.
Serikali inataka ushahidi gani kuthibitishiwa haya ili kuwapeleka mahakamni? kwanini mwizi wa kuku na simu anafungwa miezi mitatu na kuchomwa motto wakati wanaoifanya TZ kuwa maskini wana dunda mtaani na wengine wakitoa kauli za kutudhihaki na kututusi bila woga, haya na soni