Rostam, Lowassa wakatwa miguu

CCM wasnt prepared for this...
...just coincidence
... wamelazimishwa!!!!
 
..hakuna anayeweza kuukana mchango wa Lowassa na Rostam ktk kumuingiza madarakani Jakaya Kikwete.

..kama ni ufisadi walifanya kwa niaba ya JK na CCM, na kwa nia ya kumpatia JK na CCM ushindi wa kishindo.

..pia hayo yaliyosemwa siamini kama ni mambo mapya kwa Raisi kuyasikia. unless, Raisi adai amekuwa safarini[nje ya nchi] muda mrefu hivyo hakuwa na habari nayo.

..hata suala la Rada, EPA, Richmond,Dowans, wizi wa nyumba za serikali,etc etc, ni masuala ambayo yalipitia kwenye vikao vya baraza la mawaziri, vinavyoongozwa Raisi ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM.

..kwa kweli kama CCM hawatachukua hatua kwa viongozi wote mafisadi, kuanzia na mwenyekiti wao, Jakaya Mrisho Kikwete,basi huku kujivua gamba itakuwa ni sawa na masihara ya kisiasa, au danganya toto.
 
Vyovyote iwavyo CCM bado haijajivua gamba. Kama kweli kujivua gamba kuna maana ya kuwaondoa ndani ya chama watuhumiwa wa ufisadi. Hivi kweli wanaotuhumiwa ni hao tu? Mara kadhaa tumesikia na kusoma hata kwenye vyombo vya habari kwamba hata mkulu anahusika. Inaweza isiwe kweli lakini ni tuhuma. Kwa nini basi hukumu hiyo imelenga wachache? Ingekuwa busara kwa CCM kuja maelezo as to why tuhuma za kina E.L, R.A na AC zionekane na uzito wa kustahili adhabu kuliko wengine? CCM ijivue gamba isijikune.
 
Nilikuwa nimeshangaa watetezi wa watuhumiwa wa ufisadi mmeenda wapi mbona mnawatupa vinara wenu bila utetezi!

Kitu gani msichojua juu ya RA na Kagoda? Hukusikia Meghij alivyosema kwenye CC?

Kipi msichojua kwa Mzee wa Vijisenti na manoti ya RADA?

Kipi msichojua kwa EL na RICHMOND?

Mnataka ushahidi gani tena?

Kwenye Vikao walikuwamo na kama wanaonewa wangeomba nafasi ya kujitetea!. Hayo ni mawazo ya Sofia Simbaaa ambaye aliomba apewe ushahidi.....!!!!!!!!!!!!!

Kinachofuata ni kuwapeleka mahakamani ili muone ushahidi maana yake ni nini?
 

Mkuu Avatar yako inanifanya niwe na wasiwasi na haya magamba waliyovua....!
 


Ah kwanini wasimteue tu Lowassa 2015 naona sarakasi zinaendelea :rip::noidea:😛opcorn:
 
Huwezi kuwatoa EL, RA na AC, ukamwacha JK. Makongoro said it all, JK needed to go as well. Kubaki kwake kunafanya uamuzi dhidi ya wengine usiwe wa haki.
 
Kwanza unaonekana MNAFIKI ambae ni chui aliyevaa ngozi ya kondoo, pili, kwa jinsi hiyo unaonekana kukosa konfidensi kuliko hata huyo unayemtuhumu. Kumhusisha mzee Mwinyi na umiliki wa CCM ni kutomtendea haki na pia unaonekana kwamba una nia ya kuwaka matope watu fulani kwa sababu ambazo unazijua wewe. Hivi kweli kwa ushahidi ndani ya Mtandao huu ni wangapi ndani ya jamvi wamewakemea kina EL, RA na AC km mafisadi?au sisi hatukuona umuhimu wa kuwaacha wajitetee kwanza? Je, wewe hukuwa ukikiita chma cha mafisadi kwa sababu ya watu km hawa? Je, hukuwa ukiwaita mafisadi badala ya WATUHUMIWA WA UFISADI. Ama kweli kwenye hili wewe una lako jambo..........
 

Tafadhali hapo kwenye red sipapendi kabisa tuendelee kujibu hoja. Mimi simpende JK lakini sitamtukana hata siku moja kwanza kwa sasa angalau amefanya kitu kikaonekana tumpongeze kwa hilo
 
Tafadhali hapo kwenye red sipapendi kabisa tuendelee kujibu hoja. Mimi simpende JK lakini sitamtukana hata siku moja kwanza kwa sasa angalau amefanya kitu kikaonekana tumpongeze kwa hilo

Mwenzio anahasira aliwekeza kwa fisadi mwenzake sasa ufalme umesambaratika ndiyo sababu ame loose control. Katueleza eti chama kingine kina kuja let them come thats our wish tuone mtakuja na sura gani so far watanzania siyo mabwege tena na licha ya hivyo Tanzania njema ni lazima penda usipende taka usitake; its my decree yes mine order I the prince in the kingdom of righteousness!
 

Pole kaka!.inaonekana ulikuwa na ukaribu sana na hao mafisadi papa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…