1. changamotoMagazeti ya Rostam sasa yanafanya kazi ya kukosoa serikali na ccm. Ni vita ya mitandao ya CCM. Magazeti hayo hajawahi kuandika mazuri kuhusu mageuzi ya uongozi ndani ya chama cha mapinduzi.
CCM imebaki na jambo leo, habarileo na uhuru.
Nadhani ni muda mzuri wa kuiangusha CCM.
Magazeti ya Rostam sasa yanafanya kazi ya kukosoa serikali na ccm. Ni vita ya mitandao ya CCM. Magazeti hayo hajawahi kuandika mazuri kuhusu mageuzi ya uongozi ndani ya chama cha mapinduzi.
CCM imebaki na jambo leo, habarileo na uhuru.
Nadhani ni muda mzuri wa kuiangusha CCM.
1. changamoto
2. Tazama
3. Taifa Tanzania
4. Hoja
5. JAMBA Leo
6. Tathmini
7. Msanii Africa
8. Daily News
yote yanafadhiliwa na MAGAMBA
unaota mkuu.kwani ccm haiangushwi kwa magazeti, ccm mtaiangusha kama wanachama wake wote ambao ni wengi sana sana na huwa hawana time ya kusoma magazeti mkifanikiwa kuwa convert, otherwise ur dreaming and u will remain dreaming, pole sana.Magazeti ya Rostam sasa yanafanya kazi ya kukosoa serikali na ccm. Ni vita ya mitandao ya CCM. Magazeti hayo hajawahi kuandika mazuri kuhusu mageuzi ya uongozi ndani ya chama cha mapinduzi.
CCM imebaki na jambo leo, habarileo na uhuru.
Nadhani ni muda mzuri wa kuiangusha CCM.
unaota mkuu.kwani ccm haiangushwi kwa magazeti, ccm mtaiangusha kama wanachama wake wote ambao ni wengi sana sana na huwa hawana time ya kusoma magazeti mkifanikiwa kuwa convert, otherwise ur dreaming and u will remain dreaming, pole sana.