Rostam Aziz kuhusu Lowassa


Amesema kweli kabisa...Bwana huyu alikuwa anafunga Kila Ijumaa na kuomba Kwa bidii sana. Mungu amrehemu baba yetu Hayati Edward Ngoyai Lowasa
 
Unafiki mkubwa,wakati serikali ya ccm,ikitumia vyombo vya dola ambavyo vipo very politicized, maneno haya hayakusikika,kenges kabisa
 

Marehemu lazima asifiwe...
 
Jamani muulizeni Rostam Aziz alizaliwa kijiji gani hapa TZ na alisoma shule gani ya msingi. Au muulizeni class mate wake yoyote wa shule ya Msingi. Nchi hii ufisadi na Rostam Azizi ni synonymous
 
Rostam kuishi na Lowassa nyumba moja Dodoma kwa miaka 15, kwa vipi? ...Hii inahitaji ufafanuzi zaidi!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…