Rostam Aziz akiwa kama ASSET muhimu ulimwengu, Tanzania bado haijamtumia kwa maslahi ya nchi.

Katika viunga vya jiji la Tehran, nchini Iran, moja ya mgahawa maarufu wa Natalie Food uliopo katika mtaa wa Khorramshahr street, anapatikana mteja maarufu wa mgahawa huo ambae ni kijana mdogo wa wastani wa balehe,

Umaarufu wa mteja huyu kwa wahudumu unamfanya kuwa kama mwenyeji, akipendelea zaidi kula Pizza ya kiitaliano na juice ya Asia. Hali hiyo ya uhudhuriaji wa maakuli unamsogeza katika kilele cha bahati ya kukutana na watu mbalimbali ulimwenguni ambao wengi ni watalii na wageni katika jiji Tehran.

Mmoja wa wageni hao ni Muingereza Nicholas John Barrington ambae alikuwa bolozi wa Uingereza mjini Tehran, urafiki huo unachanua na hata ilipofikia mgogoro wa kidiplomasia kati ya Tehran na London, bado Balozi Nicholas aliendelea kuwa na urafiki wa karibu na kijana huyu,

Kijana huyu si mwingine bali ni Rostam Azozi, aliyekuwa akisoma chuo mjini Teran. Kwakiwango kikubwa uwezo wa kuzungumza kiushawishi, kuaminiwa kwa haraka, na akili nzuri ya kijana huyu vilimfanya kuwa rafiki wa watu wengi mashuhuri na hapo ndipo Nicholas John Barrington akamshauri ajikite katika biashara za majadiliano akimtazama kama kijana anayeweza kuwa mzuri kwenye upatanishi (negotiator).

Baba yake Rostam alikuwa ni raia Tanzania huko Afrika akiwa na asili ya Iran, huku akiwa mfanyabiashara mwekezaji, na hivyo ushauri wa Nicholas John Barrington kwa kijana Rostam ulikuwa kama kutia utambi wa mafuta katika katika kiberiti cha gesi. Alitilia mkazo katika masomo ya biashara hasa biashara za kimataifa.

Miaka michache baadae alipohitimu masomo alikuwa tayari ameanza kuongoza umoja wa makampuni ya baba take Aziz Companies na akajikita katika uwekezaji wa majengo huko Dubai na kwingine duniani. Katika kutaka kubobea kwenye biashara za kimataifa, urafiki wa Rostam na Nicholas John Barrington uliendelea kushamiri akamshauri aende Uingereza akasomee rasmi masomo ya diplomasia katika ushawishi wa juu (special lobbiestor), upatanishi wa juu (special negotiator)

Na baada ya kuhitimu tu, nchi za Uingereza, Marekani na Irani zilimtaka awe mtu wao katika ukanda wa Afrika, lakini kijana huyu alikuwa tayari kutumikia nchi ya baba yake na biashara za familia yake, alirejea Tanzania na kuanza rasmi kazi akiwa............Zingatia Akram ambae ni mdogo wake Rostam leo yuko huru baada ya mguu wa Rostam kukanyaga.....Taifa halijamtumia kwa manufaa ya nchi Rostam Azizi, ni jamii chache ulimwenguni zenye watu muhimu kama Rostam.

Kwa undani zaidi, Soma Kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi, Weekend ya Sikuu, natoa vitabu vitano kwa Ofa ya @ 50,000/= popote ulipo Tanzania.

Lipa 50,000 kwa 0715865544 au 0755865544 kisha tuma majina yako na mahali ulipo.....

Chadema mnataka ushoga au rostam?
 
reginald mengi anauza kitabu chake cha historia y mafanikio yake kwa tsh 15,000 wewe unauza kitabu chako cha kukopi na kupaste na vihabari vya uongo uongo kwa tsh 50,000 kweli umasikin wa fikra mbaya sana
 
Kama watz tuna moral obligation ya kusuport kazi za watz wenzetu na sio kubeza. Let’s encourage them. Kuandika kitabu ni level ya juu sana katika mental capacity. Iwe fiction au real, just unleash your curiosity kwa kununua kitabu chake. Mimi nitanunua xmass hii.

Sure! huu ukweli mweupe.ile kuwa na formal kitabu tu ni cha kupongeza hasa kwa africa yetu.
 
Back
Top Bottom