Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,908
- 7,752
Sasa Chiba na ile kitambi si awezi Shughuli kwa huyu first lady??Rosemary Mayemba ni mjumbe wa kamati kuu ya Chadema. Alikuwa Mwenyekiti wa Mkoa wa Njombe kabla uchaguzi haujafutwa ambapo yeye Rose anadai uchaguzi ulikuwa na figisu. Sio lengo langu kujadili hizo figisu isipokuwa nataka watu wajue hali halisi ilivyo hapa Njombe.
Rosemary Mayemba kama mjumbe wa kamati kuu aliyeshiriki vikao vya retreat kule Bagamoyo ambako walikalishwa na kuonywa juu ya mgawanyiko mkubwa uliopo Chadema na kuombwa wafikapo kwenye maeneo yao wakaunganishe chama, Rose amekuwa kama aliyeota mapembe. Anawakejeli wote ambao hawakumuunga mkono Lissu, anawatukana na kuwabagua.
Rose ameshakuwa mjumbe wa kamati kuu. Kwa kutumwa au kujituma mwenyewe, bado anataka kugombea tena uenyekiti wa mkoa. Katika hali ya sasa ambapo Chama hakiko katika utengamano, Rose alitakiwa kuwaachia watu wengine wagombee nafasi hiyo huku msisitizo wake uwe ni mapendano ndani ya chama.
Rose anaongoza genge la watu wachache kushughulikia wenzake. Tangu ameteuliwa kuwa mjumbe wa kamati kuu amegeuka kuwa "first lady" wa Chadema hapa Njombe.
Hashauriki, mbishi, mjuaji na kuona kama chama mkoa wa Njombe ni mali yake binafsi.
Natoa angalizo na wito kwa viongozi wa chadema. Hiki chama mnakiua. Na hamna uwezo wowote wa kukihuisha kuwa cha moto kama kilivyokuwa.
hawezi kuiua chadema, hawezi as long a watu wako nyuma ya chadema. Ni matter ya kujaza nafasi walizoziachiaRosemary Mayemba ni mjumbe wa kamati kuu ya Chadema. Alikuwa Mwenyekiti wa Mkoa wa Njombe kabla uchaguzi haujafutwa ambapo yeye Rose anadai uchaguzi ulikuwa na figisu. Sio lengo langu kujadili hizo figisu isipokuwa nataka watu wajue hali halisi ilivyo hapa Njombe.
Rosemary Mayemba kama mjumbe wa kamati kuu aliyeshiriki vikao vya retreat kule Bagamoyo ambako walikalishwa na kuonywa juu ya mgawanyiko mkubwa uliopo Chadema na kuombwa wafikapo kwenye maeneo yao wakaunganishe chama, Rose amekuwa kama aliyeota mapembe. Anawakejeli wote ambao hawakumuunga mkono Lissu, anawatukana na kuwabagua.
Rose ameshakuwa mjumbe wa kamati kuu. Kwa kutumwa au kujituma mwenyewe, bado anataka kugombea tena uenyekiti wa mkoa. Katika hali ya sasa ambapo Chama hakiko katika utengamano, Rose alitakiwa kuwaachia watu wengine wagombee nafasi hiyo huku msisitizo wake uwe ni mapendano ndani ya chama.
Rose anaongoza genge la watu wachache kushughulikia wenzake. Tangu ameteuliwa kuwa mjumbe wa kamati kuu amegeuka kuwa "first lady" wa Chadema hapa Njombe.
Hashauriki, mbishi, mjuaji na kuona kama chama mkoa wa Njombe ni mali yake binafsi.
Natoa angalizo na wito kwa viongozi wa chadema. Hiki chama mnakiua. Na hamna uwezo wowote wa kukihuisha kuwa cha moto kama kilivyokuwa.
Mizoga kivipi?Sasa Chiba na ile kitambi si awezi Shughuli kwa huyu first lady??
Ila chibaa kwa kuokota mizoga
Kumbe hawezi!!?Sasa Chiba na ile kitambi si awezi Shughuli kwa huyu first lady??
Ila chibaa kwa kuokota mizoga
Wacha aiuwe tu matapeli wamepewa madarakaRosemary Mayemba ni mjumbe wa kamati kuu ya Chadema. Alikuwa Mwenyekiti wa Mkoa wa Njombe kabla uchaguzi haujafutwa ambapo yeye Rose anadai uchaguzi ulikuwa na figisu. Sio lengo langu kujadili hizo figisu isipokuwa nataka watu wajue hali halisi ilivyo hapa Njombe.
Rosemary Mayemba kama mjumbe wa kamati kuu aliyeshiriki vikao vya retreat kule Bagamoyo ambako walikalishwa na kuonywa juu ya mgawanyiko mkubwa uliopo Chadema na kuombwa wafikapo kwenye maeneo yao wakaunganishe chama, Rose amekuwa kama aliyeota mapembe. Anawakejeli wote ambao hawakumuunga mkono Lissu, anawatukana na kuwabagua.
Rose ameshakuwa mjumbe wa kamati kuu. Kwa kutumwa au kujituma mwenyewe, bado anataka kugombea tena uenyekiti wa mkoa. Katika hali ya sasa ambapo Chama hakiko katika utengamano, Rose alitakiwa kuwaachia watu wengine wagombee nafasi hiyo huku msisitizo wake uwe ni mapendano ndani ya chama.
Rose anaongoza genge la watu wachache kushughulikia wenzake. Tangu ameteuliwa kuwa mjumbe wa kamati kuu amegeuka kuwa "first lady" wa Chadema hapa Njombe.
Hashauriki, mbishi, mjuaji na kuona kama chama mkoa wa Njombe ni mali yake binafsi.
Natoa angalizo na wito kwa viongozi wa chadema. Hiki chama mnakiua. Na hamna uwezo wowote wa kukihuisha kuwa cha moto kama kilivyokuwa.
Ni wazi hata wewe unayo matatizo yako kwa kusoma tu uliyo andika hapa. Tena unaweza kuwa tatizo kubwa zaidi kuliko hata huyo Mapembe unayemzungumzia hapa.Natoa angalizo na wito kwa viongozi wa chadema. Hiki chama mnakiua. Na hamna uwezo wowote wa kukihuisha kuwa cha moto kama kilivyokuwa.
Ina maana chadema hakina mawasiliano ya moja kwa moja kutoka mashinani,Wilayani,Mkoa na Taifa kwa wakati? Ni mpaka taarifa zipatikane kama hapa jamiiforums?Tunaifanyia kazi hoja yako
Huyo ***** alisomewa kisomo na ndugu wa Marehemu Thadei Ole Mushi sasa hivi amekuwa shoga kabisa amewekwa kinyumba na Mwarabu mmoja huko Masaki.Kumbe hawezi!!?
Ulimjaribu ndio ukaona hilo!???
Kama Lissu ameweza kupita na wewe, basi atakuwa yupo shallow sana kwenye taste, yaani mpaka wewe jamvi la CCM!!???
Inategemea, maana kama wanaotoa taarifa hawafichui haya tutatumia vyanzo vingineIna maana chadema hakina mawasiliano ya moja kwa moja kutoka mashinani,Wilayani,Mkoa na Taifa kwa wakati? Ni mpaka taarifa zipatikane kama hapa jamiiforums?