Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alijuaje kuwa wamefika 5,000 au alikua anawapa risiti?
Tatizo ni Kizungu au hukusoma uraia kidato cha kwanza? Hujasoma kuwa alizaliwa Tz or unatafuta translator bado?wapi wamesema ni mtz hapo kwenye heading!?
hahaha hii inaitwa TKO!Kama ulibahatika kwenda shule utakua umenielewa, lakini kama ulihudhuria hizo st kayumba za kwenu, sitapoteza muda na wewe.
sisi wakenya hatuna upuzi na utoto kama mlivyo...ukikamatwa ukiiba inakuwa ni wewe as an individual na wala sio jamii na nchi. remember even stupidity has limits, you cant be stupid infinitum.mmmh
au umefungua id mpya ku revenge mkenya wenu aliyekamatwa mlimani city juzi
mikenya ndivyo ilivyo!Kama ulibahatika kwenda shule utakua umenielewa, lakini kama ulihudhuria hizo st kayumba za kwenu, sitapoteza muda na wewe.
I wonder why these guys are always matchlesslly too harsh. How can one spit out such scornful words as a response to one's non confrontational comment (post # 19)? Its very unbecoming.mikenya ndivyo ilivyo!
sisi wakenya hatuna upuzi na utoto kama mlivyo...ukikamatwa ukiiba inakuwa ni wewe as an individual na wala sio jamii na nchi. remember even stupidity has limits, you cant be stupid infinitum.
HaaaahDuuu ameponaje ngoma huyu, maana siku hizi ukigusa tu labda wa 25, ukiumwa tu mafua kidogo unaanza kuweweseka.