Habari Waungwana
Nasikia eti rose water kuna fake na origional sasa naomba mnambie, unatambuaje kwamba hii ni fake na hii ni origional?pia kwenye mafuta huwa wanaweka rose water au rose oil?
Habari Waungwana
Nasikia eti rose water kuna fake na origional sasa naomba mnambie, unatambuaje kwamba hii ni fake na hii ni origional?pia kwenye mafuta huwa wanaweka rose water au rose oil?Mkitupia na tupicha itakua poa zaidi
Kucha bandia,kope bandia,nywele bandia,nyusi bandia,ngozi imechubuliwa na kuwa bandia na bado mnataka ROSE WATER original!!!!!!!!!
Hii ni kwa wale madada bandia na halihusiani na mtoa post
Habari Waungwana
Nasikia eti rose water kuna fake na origional sasa naomba mnambie, unatambuaje kwamba hii ni fake na hii ni origional?pia kwenye mafuta huwa wanaweka rose water au rose oil?
ukitaka bidhaa ya uhakika kama hiyo nenda kwenye yale maduka ya waarabu, bei ghali bidhaa origino, ila hawa wenzangu na mimi wanachakachua mpk mbegu, lol