GE2025 Rose Vicent Busiga achukua na kurejesha fomu ya kuomba ridhaa ya CCM kugombea ubunge, Mbogwe

GE2025 Rose Vicent Busiga achukua na kurejesha fomu ya kuomba ridhaa ya CCM kugombea ubunge, Mbogwe

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Just Pray

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,142
Reaction score
4,779
Aliyekuwa mbunge wa viti maalum mkoa wa Geita, Rose Vicent Busiga leo Juni 30, 2025 amechukua na kurejesha rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kupitishwa kugombea Ubunge wa Jimbo la Mbogwe katika uchaguzi mkuu Wa mwaka huu 2025.

Zoezi la uchukuaji na urejeshaji wa fomu za kugombea nafasi ya Ubunge kupitia CCM linaendelea nchi nzima, ambapo wanachama mbalimbali wa chama hicho tawala wanaendelea kujitokeza kuomba ridhaa ya kupeperusha bendera ya CCM katika majimbo yao.

Hatua hii ya Mhe. Busiga ni ishara ya kuendeleza dhamira yake ya kulitumikia Taifa na wananchi wa Mkoa wa Geita kwa moyo wa uzalendo na uaminifu aliouonesha katika kipindi chake cha awali akiwa Mbunge wa Viti Maalum.
Screenshot 2025-06-30 162222.png
 
Back
Top Bottom