Rose Odinga asipotuomba msamaha, Watanzania tutampa adhabu hii

Rose Odinga asipotuomba msamaha, Watanzania tutampa adhabu hii

Mi sina shida na Rosemary ametumia fursa, amekamata fursa sababu wenye fursa wenyewe hawaitendei haki fursa yao, wako wapi wizara ya maliasili na utalii ambao ndio wanatakiwa kutangaza mambo yote ya kitalii ndani ya nchi hiii, mkilala wenzenu wataawamsha mi naomba tumshukuru Rosemary kwa kutuamsha kwani tulikuwa tumelala.
wewe na matatizo. mtu akichukua mkeo utasema ametumia fursa?
 
Stupidity at its best. watanzania mna ujinga mwingi sana. mnaipa hii kitu airtime kubwa with no any reason. Kwani amehamisha Olduvai kwenda kenya mmeshindwa vipi kutangaza vivutio vyenu???
 
Ila sisi watanzania tumelala sana... Tunaanza kujifanya tunauchungu na mali zetu baada ya mwingine kuonesha hali ya kuvitumia... Sawa na mtoto mdogo hana shida na mipira yake, lakini akiigusa mwingine utaona analia kachukua mipira yangu, wakati yeye hana habari nayo...
 
inabidi nimtafute Rose nimtie mimba kabisaaa ili kama anataka kuunga udugu basi uimarike zaidi,
 
Dawa yake ni kuweka maofisa wa uhamiaji hapo kugonga pasi zao, ndio watajua kweli hapo ni Tanzania.
 
Na siku Magufuli akienda UN atafute jinsi ya kuiweka Olduvai Gorge kwenye speech yake, hata kama haiendani kabisa na main issues. Najua anaweza kwa vile hata hapa amefanya mara kadhaa.
 
Back
Top Bottom