Rose 1980

Yuko wape Pape na Masikini Jeuri? siku nyingi sijawaona hawa member!!
 
Yupo mwingine alikuwa anaitwa Geoff, na baadaye akaja kutumia ID nyingine ya CarinaT, sijui yuko wapi huyu, alikuwa mbishi hivi na mtu wa mabifu bifu. Nakumbuka alipewa ban kwa kumwambia mwenzake humu "pole samaki". Geoff aka CarinaT hebu tuambie ID yako mpya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…