Rose 1980

Kuna wakati kumuuliza mtu ambaye hujamuona siku nyingi unahitaji uwe na kifua kwani hujui utapata jibu gani!
Kuna member humu alikuwa anajiita ROSE1980 SIMUONI TENA !alikwenda wapi .....alikuwa ni mshauri mzuri sana!

Alipata kazi taasisi moja ya serikali hivyo yuko busy sana nadhani haingii sana kwenye internet; kabla ya hapo alikwa private company na masaa yote ya kazi alikuwa online
 
Hata nami nimemmiss, kuna kipindi nilifikiri amebadilisha ID but l think l was wrong.
 
JF mbali na maneno mbovu mbovu lakini raia wake wanakumbukana safi all member
 
Ingawa tunachakachua but mie nammis sana Lizzy!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
rose kaadimika kweli. tumemiss maandishi yako jamani. ulikuwa na mwandiko mzuri kuliko wote humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…