Rorya michango imezidi!

Rorya michango imezidi!

Gor

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,791
Reaction score
850
Jamani kuna michango ya kudhalilisha utu huku Rorya,wenyeviti wa vijiji na watendaji wa kata,madiwani na mbuge wa ccm wanachukua fedha za halmashauri kifisadi hasa fedha za ukimwi na maendeleo kisha wanaitisha michango ya kuja kuwachangisha wananchi.

Nawashauri wananchi kataeni kwa nguvu kuchangia fedha upumbavu huo.Wanakula fedha za halmashauri kama mchwa!.

Nawashauri chagueni vyama vya upinzani ili mjikomboe na udhalilishaji huo.Hakuna maendeleo maana huku ujaluoni familia nyingi ni maskini wa kupindukia pia nawashauri ndugu zangu rushwa ya "gonytienda" kwa kiswahili nifungue mguu ambayo Airo anatoa au mnayoidai kutoka kwake inadhalilisha utu wetu na heshima yetu kama watu wa Rorya.
 
kwa kweli tumekoma maana cha moto twala
 
Hasa kowack wananchi wanamwabudu fisadi lakairo kama mfalme kisa njaa na badala ya kuwaelemisha waache atera ,ukimwi utawamaliza
 
wanachangisha kwa ajili ya nini?
Yaani kuna michango ya ajabu ajabu mpaka unadhani hii Rorya inaendeshwa na michango ya wananchi,ila mimi nimekataa
 
tasaf wanagawa pesa kwa wapiga kura masikini
 
Jamani kuna michango ya kudhalilisha utu huku Rorya,wenyeviti wa vijiji na watendaji wa kata,madiwani na mbuge wa ccm wanachukua fedha za halmashauri kifisadi hasa fedha za ukimwi na maendeleo kisha wanaitisha michango ya kuja kuwachangisha wananchi.

Nawashauri wananchi kataeni kwa nguvu kuchangia fedha upumbavu huo.Wanakula fedha za halmashauri kama mchwa!.

Nawashauri chagueni vyama vya upinzani ili mjikomboe na udhalilishaji huo.Hakuna maendeleo maana huku ujaluoni familia nyingi ni maskini wa kupindukia pia nawashauri ndugu zangu rushwa ya "gonytienda" kwa kiswahili nifungue mguu ambayo Airo anatoa au mnayoidai kutoka kwake inadhalilisha utu wetu na heshima yetu kama watu wa Rorya.

Sio Rorya tu ni nchi nzima. Hao CCBola wamerudisha kodi ya Kichwa kwa mlango wa nyuma wanaita michango. Kuna kuna kuchangia maabara kwa nguvu na sitashangaa ni ka
Kampuni zao zitapata tenda ya ku supply vifaa na madawa
 
Hasa kowack wananchi wanamwabudu fisadi lakairo kama mfalme kisa njaa na badala ya kuwaelemisha waache atera ,ukimwi utawamaliza
Luo wanajitakia haya wenyewe,kwanza tunabaguliwa ktk ofisi za serikali kuwa ni wakenya na watumishi wa serikali hii ya ccm,turudini kwetu upinzani maana luo kwa asili ni watu wanaopenda uwazi,uwajibikaji na kantu uswahili kwao mwiko,tuwapigie kura ukawa.
 
Luo wanajitakia haya wenyewe,kwanza tunabaguliwa ktk ofisi za serikali kuwa ni wakenya na watumishi wa serikali hii ya ccm,turudini kwetu upinzani maana luo kwa asili ni watu wanaopenda uwazi,uwajibikaji na kantu uswahili kwao
mwiko,tuwapigie kura ukawa.
Huyo anaesema wajaluo ni wakenya mwambie hajui historia,wajaluo asili yetu ni Sudan ya kusini,we are nilots,Kama Masai na makabila mengine, miaka hiyo ya kuhama hama tulijikuta tumeshuka Kenya na along the lake region,Luis are fishermen, Masai are wachungaji, luos wapo Kenya, Uganda, Tz, DRC, and Nigeria bila kusahau oval office yaani jumba jeupe.mm ni mjaluo mtanzania,and am proud to be aluo period.
 
Ahahahaha Msawa! Iwacho maber Jatelo.
 
Ni kweli Luo wanapatikana kenya, uganda, tz sudan na nk. but hebu pubguzeni ukabila kwa msingi wa kubaguana. Najua Luo wanathamini sana mila na desturi zao but punguzeni kubaguana hata wenyewe kwa wenyewe.
 
Ndiyo maana Rorya siasa zisizo na kichwa wala miguu haziishi. badala ya kutumia pesa za Lakairo kuhandaa miundombinu ya miradi ya kudumu kwa kumpa ushauri nyie mnaomba 2000 za kunywea chai kwenye vitongoji vilivyotamalaki kwa umasikni.
Na mnajisahau kuwa Rorya kuna mchanganyiko wa makabila kibao.
 
Rorya kipaumbele ni starehe plus uvivu wa kufikiri kuliko kujishughulusha kimaendeleo.
 
Lakairo wanaume Wako bungeni yeye anagawa yebo yebo kwa matahira Rorya , wanaume wanaomba mabarara kwa magufuli ya lami, yeye anagawa hela ya gongo kwa vijanA wazidi kulewa na kuchanganyikiwa wimhusudu kama mfalme wilaya maskni
 
Back
Top Bottom