Wakuu wa hili jukwaa nakuja kwenu kuomba msaada...nimenunua huawei mate 8 mwezi uliopita ila mpaka sasa naona kama siifaidi vile maana nshazoea kuroot simu zote nitumiazo...naombeni msaada wenu jinsi ya kuroot hii simu....natanguliza shukrani zangu kwenu