Elvicepride
JF-Expert Member
- Apr 8, 2013
- 243
- 65
Nielekeze namna ya kurootukiona hivyo pengine bootloader yake wameifunga, sababu ni simu mpya subiria baadae watapata tu upenyo
hakuna namna moja ya kuroot kila simu inatofautiana na mwenzake, pia si vyema kuanza kuroot simu kama uwezo wako ni mdogo mara nyingi utaishia tu kuharibu os ya simuNielekeze namna ya kuroot
ukiona hivyo pengine bootloader yake wameifunga, sababu ni simu mpya subiria baadae watapata tu upenyo
hapo umeruhusu iwe unlocked lakini hujai unlockHii button nimeiweka on inamaana gani
"OEM unlocking"
"Allow the bootloader to be unlocked"
Maana nimejaribu kuiweka on lakini bado imeFail?
hapo umeruhusu iwe unlocked lakini hujai unlock
mpaka huawei wenyewe waruhusu au mtu atafute namna ya kubypassSo nifanyaje niiunlock?
Unatumia android version ipi.?So nifanyaje niiunlock?
5.1Unatumia android version ipi.?
Nimeona hadi kuomba unlock keys za bootloader kwenye manufacture website labda na wangetoa official stock firmware yake ingekuwa vizuri zaidi incase sim ikizingua, ngoja nisubirimpaka huawei wenyewe waruhusu au mtu atafute namna ya kubypass
kila siku hawa jamaa android wanazidi kuifunga. cheki hapa sijui ni rom hii au ni kitu ganiNimeona hadi kuomba unlock keys za bootloader kwenye manufacture website labda na wangetoa official stock firmware yake ingekuwa vizuri zaidi incase sim ikizingua, ngoja nisubiri
kila siku hawa jamaa android wanazidi kuifunga. cheki hapa sijui ni rom hii au ni kitu gani
【HUAWEI Y3II Mobile Phones 】 - Huawei Support - Huawei Official Site
[HiiTninayoionakwawa, posgani7kwe25331, member: 44606"]kila siku hawa jamaa android wanazidi kuifunga. cheki hapa sijui ni rom hii au ni kitu gani
【HUAWEI Y3II Mobile Phones 】 - Huawei Support - Huawei Official Site