Room au vyumba viwili vinahitajika mbeya mjini

Room au vyumba viwili vinahitajika mbeya mjini

mabwepand

Member
Joined
Jul 16, 2012
Posts
86
Reaction score
22
Natafuta rum au vyumba viwili eneo kabwe au soweto muhimu kusiwe na wapangaji wengi nikipata single self itakuwa bomba urgent
 
ipo nyumba maeneo ya Jacaranda ina chumba kimoja kikubwa na sebule kubwa (with dining room) choo cha nje na parking kubwa ya hadi magari manne. mpangaji ni wewe kama utaingia na geti. yaani ipo full usalama.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom