Ronaldo snubbed by Guardiola.

Ronaldo snubbed by Guardiola.

Mourinho

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2012
Posts
4,619
Reaction score
2,328
Jana kwenye pitapita zangu huko mitandaoni nikaona kwenye the Sun hiyo heading.
Jumatatu wakati wa utoaji wa awards za ballon' dor Guardiola alikataa mkono wa CR7 na kuna footage jamaa wameweka hapo inayoonesha Pep alivyomchek Ronaldo kama hamjui vile halafu akampotezea mkono wake.

Najiuliza zile tension za Barca Vs Madrid ndio zimesababisha haya? Na kwa kweli huwa napenda personality ya Guardiola ila hii kitu imenishangaza kweli.
 
Nimeshindwa kuweka link ya video ila kapicha hako hapo
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1357814745.194762.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1357814745.194762.jpg
    45.1 KB · Views: 140
Wacatalunya ni watu wenye dharau sana...sitashanga Pep kusita kutoa mkono
 
Hapo si Ukatalunya, ni tabia binafsi ya mtu, haya mambo hata huku kwetu na kwingine yapo, so hapo ni Josep kama yeye.
 
Jana kwenye pitapita zangu huko mitandaoni nikaona kwenye the Sun hiyo heading.
Jumatatu wakati wa utoaji wa awards za ballon' dor Guardiola alikataa mkono wa CR7 na kuna footage jamaa wameweka hapo inayoonesha Pep alivyomchek Ronaldo kama hamjui vile halafu akampotezea mkono wake.

Najiuliza zile tension za Barca Vs Madrid ndio zimesababisha haya? Na kwa kweli huwa napenda personality ya Guardiola ila hii kitu imenishangaza kweli.

Ana dharau sana huyo kijana.
Hata mwaka 1994 katika fainali ya champions league alionyesha kumdharau Marcel Desaily aliekuwa kiungo wa AC Milan wakati huo.

Lakini Milan wakamkomesha na Barca kulalwa goli 4-0 katika fainali hiyo.
Huku Desaily akifunga goli la 4.

Forza Milan
 
Wezi jua nn kilichopo miyoyoni mwao..wale wana visa binafsi..kwa upande mwingine yaweza kua wanataka media tension..

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Embu imagine that with all the rumors kwamba CR7 is not happy at Madrid then itokee karudi Man Utd au kaenda club nyingine say Milan labla, halafu wakutane na Guardiola huko how will they work? Au ndio they will never work together?
 
Hivi Guardiola ana nini cha kujivunia? Timu anayojivunia iliyotengenezwa na Rijkaard (miaka yake mitatu aliwanunua Keita, Villa na Fabregas tu ambao wapo wapo tu Barca).
 
Gang Chomba, acha tabia za kike. Conclusions za namna yako as if wewe ndio unawafulia chupi zao kiasi ujifanye unajua mahusiano yao sio za kiume.

Siku ile Barca walipoifunga Madrid bao 5 kwa bila, Christian Ronaldo alimsukuma Guardiola kifuani aki-protest kuwa Guardiola anapoteza muda kwa kuushika mpira ilhali yeye alikuwa anautaka arushe. Kitendo kile kilimkera Guardiola na kesho yake alimuelezea Ronaldo kama mmoja kati ya wachezaji wasio na adabu ndani na nje ya uwanja.

Sasa sioni cha ajabu kinachohusiana na Pep as if yeye ni mtu wa kwanza kukataa kumpa mtu mwingine mkono. Arsene Wenger aligoma kupokea mkono wa Alan Padrew, John Terry vs Wayne Bridge, Suarez vs Evra na wengine wengi tu. Kutoipenda kwako Barcelona kusikufanye ukawa mjinga

Una uhakika gani mahusiano ya Guardiola na Desailly yalikuwa hayana mushkeli?
 
Last edited by a moderator:
Siku ile Barca walipoifunga Madrid bao 5 kwa bila, Christian Ronaldo alimsukuma Guardiola kifuani aki-protest kuwa Guardiola anapoteza muda kwa kuushika mpira ilhali yeye alikuwa anautaka arushe. Kitendo kile kilimkera Guardiola na kesho yake alimuelezea Ronaldo kama mmoja kati ya wachezaji wasio na adabu ndani na nje ya uwanja.

Sasa sioni cha ajabu kinachohusiana na Pep ...

Last edited by a moderator:
Hivi Guardiola ana nini cha kujivunia? Timu anayojivunia iliyotengenezwa na Rijkaard (miaka yake mitatu aliwanunua Keita, Villa na Fabregas tu ambao wapo wapo tu Barca).

Ndio akili za kibongo hizo, unauliza ana nini cha kujivunia, wewe una nini?

Hebu google jina lake, halafu google la kwako. Tazama kama la kwako liko kwenye Wikipedia....acha ulimbukeni wewe.

FOOTBALL

[h=1]Pep Guardiola, the most successful manager in Barça history[/h] VANESSA FORNS
04/27/2012 12:50

The outgoing FCB coach has achieved the biggest trophy haul in club history: two Champions Leagues, three Ligas, two Clubs World Cups, two European Supercups, one Copa del Rey and three Spanish Supercups

He is followed by Johan Cruyff with 11 titles, Jack Greenwell with 8, Fernando Daucik with 6, and Frank Rijkaard with 5

  • FCB_-_MANCHESTER_UNITED_39_.v1335525488.JPG

    Guardiola and the players / PHOTO: ARXIU FCB

[h=4]Much individual recognition[/h] Josep Guardiola has also won a number of individual honours in his four years as first team manager, including the Parliament of Catalonia's Medal of Honour (2011), FIFA Manager of the Year (2011), Onze d'Or for best manager in Europe (2009 and 2011) and the LFP Award for the best manager in the Spanish Liga (2009 and 2011), among many others.

With the chance of another Copa del Rey still to come, Guardiola has won 13 trophies in his four seasons in charge of the first team – unquestionably the best record for any manager of the club. Not only has no FC Barcelona manager ever won as many titles, but Guardiola also managed to do so in an amazingly short period of time.

Johan Cruyff won 11 titles between 1988 and 1996, including the club's first ever European Cup. We then have to go all the way back to Jack Greenweell, who in two different periods (1917-1924 and 1931-1933), accumulated 8 cups. Fernando Daucik is next in line after conquering six major titles between 1950 and 1954, while Frank Rijkaard managed the club to five.

Successful model

Pep Guardiola took over the first team in the summer of 2008, after leading the B team into Division 2B the season before. In his first year at the Camp Nou, he won the treble of the league, cup and Champions League. Since then, he has always won at least three trophies a season. 2009 ended with him adding the two Supercups and the first ever Clubs World Cup.

But that was only the start of it for Barça and Guardiola, for the next year they won La Liga with a record tally of 99 points. Last season they won no less than the Spanish Supercup, La Liga and the fourth Champions league. This season, the club has already won the two Supercups again, as well as another Clubs World Cup, with the Copa del Rey final still to come on May 25 against Athletic Bilbao.

Au jisomee mwenyewe kwenye tovuti ya Barcelona hapa: Pep Guardiola, the most successful manager in Barça history | FC Barcelona

Na kama bado hujaridhika, jiulize kwa nini Man United na Chelsea wanamtaka akazifundishe timu zao na wasikuite wewe, baba yako, au Rijkaard?

Siwapendi watu wenye jealous kama nini, ni vile tu upo mbali lkn hata makofi ningekupiga. Au unafikiri kuchat chat JF nayo ni profession ya ujilinganisha na Guardiola? Acha hizo wewe, tena kama ni wa kiume jitake radhi, umejikosea sana
 
Ndio akili za kibongo hizo, unauliza ana nini cha kujivunia, wewe una nini?

Hebu google jina lake, halafu google la kwako. Tazama kama la kwako liko kwenye Wikipedia....acha ulimbukeni wewe.

FOOTBALL

Acha ushamba!

Pep Guardiola, the most successful manager in Barça history

VANESSA FORNS
04/27/2012 12:50

The outgoing FCB coach has achieved the biggest trophy haul in club history: two Champions Leagues, three Ligas, two Clubs World Cups, two European Supercups, one Copa del Rey and three Spanish Supercups

He is followed by Johan Cruyff with 11 titles, Jack Greenwell with 8, Fernando Daucik with 6, and Frank Rijkaard with 5

  • FCB_-_MANCHESTER_UNITED_39_.v1335525488.JPG

    Guardiola and the players / PHOTO: ARXIU FCB

Much individual recognition

Josep Guardiola has also won a number of individual honours in his four years as first team manager, including the Parliament of Catalonia's Medal of Honour (2011), FIFA Manager of the Year (2011), Onze d'Or for best manager in Europe (2009 and 2011) and the LFP Award for the best manager in the Spanish Liga (2009 and 2011), among many others.

With the chance of another Copa del Rey still to come, Guardiola has won 13 trophies in his four seasons in charge of the first team – unquestionably the best record for any manager of the club. Not only has no FC Barcelona manager ever won as many titles, but Guardiola also managed to do so in an amazingly short period of time.

Johan Cruyff won 11 titles between 1988 and 1996, including the club's first ever European Cup. We then have to go all the way back to Jack Greenweell, who in two different periods (1917-1924 and 1931-1933), accumulated 8 cups. Fernando Daucik is next in line after conquering six major titles between 1950 and 1954, while Frank Rijkaard managed the club to five.

Successful model

Pep Guardiola took over the first team in the summer of 2008, after leading the B team into Division 2B the season before. In his first year at the Camp Nou, he won the treble of the league, cup and Champions League. Since then, he has always won at least three trophies a season. 2009 ended with him adding the two Supercups and the first ever Clubs World Cup.

But that was only the start of it for Barça and Guardiola, for the next year they won La Liga with a record tally of 99 points. Last season they won no less than the Spanish Supercup, La Liga and the fourth Champions league. This season, the club has already won the two Supercups again, as well as another Clubs World Cup, with the Copa del Rey final still to come on May 25 against Athletic Bilbao.

Au jisomee mwenyewe kwenye tovuti ya Barcelona hapa: Pep Guardiola, the most successful manager in Barça history | FC Barcelona

Na kama bado hujaridhika, jiulize kwa nini Man United na Chelsea wanamtaka akazifundishe timu zao na wasikuite wewe, baba yako, au Rijkaard?

Siwapendi watu wenye jealous kama nini, ni vile tu upo mbali lkn hata makofi ningekupiga. Au unafikiri kuchat chat JF nayo ni profession ya ujilinganisha na Guardiola? Acha hizo wewe, tena kama ni wa kiume jitake radhi, umejikosea sana

Acha kukurukupa mshamba wewe! Wapi nimejikinganisha na Guardiola? Mimi nimemlinganisha na Rijkaard
 
Wewe bado Gebwe tu Data zote umepewa hapo bado huna AIBU!! Unataka kutukanwa au?, Msiwe mnakurupuka huwezi kumlinganisha Rijkard na Pep hata wakatalunha watakucheka FR Kaitengeza Barca kwa Bajeti kubwa ili hali mwenzake Guardiola alitumia robo ya Gharama alizotumia Frank Rijkard kwa kuwapandisha BTeam kutoka La Masia
 
Ndio akili za kibongo hizo, unauliza ana nini cha kujivunia, wewe una nini?

Hebu google jina lake, halafu google la kwako. Tazama kama la kwako liko kwenye Wikipedia....acha ulimbukeni wewe.

FOOTBALL

[h=1]Pep Guardiola, the most successful manager in Barça history[/h] VANESSA FORNS
04/27/2012 12:50

The outgoing FCB coach has achieved the biggest trophy haul in club history: two Champions Leagues, three Ligas, two Clubs World Cups, two European Supercups, one Copa del Rey and three Spanish Supercups

He is followed by Johan Cruyff with 11 titles, Jack Greenwell with 8, Fernando Daucik with 6, and Frank Rijkaard with 5

  • FCB_-_MANCHESTER_UNITED_39_.v1335525488.JPG

    Guardiola and the players / PHOTO: ARXIU FCB

[h=4]Much individual recognition[/h] Josep Guardiola has also won a number of individual honours in his four years as first team manager, including the Parliament of Catalonia’s Medal of Honour (2011), FIFA Manager of the Year (2011), Onze d’Or for best manager in Europe (2009 and 2011) and the LFP Award for the best manager in the Spanish Liga (2009 and 2011), among many others.

With the chance of another Copa del Rey still to come, Guardiola has won 13 trophies in his four seasons in charge of the first team – unquestionably the best record for any manager of the club. Not only has no FC Barcelona manager ever won as many titles, but Guardiola also managed to do so in an amazingly short period of time.

Johan Cruyff won 11 titles between 1988 and 1996, including the club’s first ever European Cup. We then have to go all the way back to Jack Greenweell, who in two different periods (1917-1924 and 1931-1933), accumulated 8 cups. Fernando Daucik is next in line after conquering six major titles between 1950 and 1954, while Frank Rijkaard managed the club to five.

Successful model

Pep Guardiola took over the first team in the summer of 2008, after leading the B team into Division 2B the season before. In his first year at the Camp Nou, he won the treble of the league, cup and Champions League. Since then, he has always won at least three trophies a season. 2009 ended with him adding the two Supercups and the first ever Clubs World Cup.

But that was only the start of it for Barça and Guardiola, for the next year they won La Liga with a record tally of 99 points. Last season they won no less than the Spanish Supercup, La Liga and the fourth Champions league. This season, the club has already won the two Supercups again, as well as another Clubs World Cup, with the Copa del Rey final still to come on May 25 against Athletic Bilbao.

Au jisomee mwenyewe kwenye tovuti ya Barcelona hapa: Pep Guardiola, the most successful manager in Barça history | FC Barcelona

Na kama bado hujaridhika, jiulize kwa nini Man United na Chelsea wanamtaka akazifundishe timu zao na wasikuite wewe, baba yako, au Rijkaard?

Siwapendi watu wenye jealous kama nini, ni vile tu upo mbali lkn hata makofi ningekupiga. Au unafikiri kuchat chat JF nayo ni profession ya ujilinganisha na Guardiola? Acha hizo wewe, tena kama ni wa kiume jitake radhi, umejikosea sana

Asante kaka wewe ni kiboko ya washamba washamba wanaokurupuka kizamani ili mradi wachangie Naomba usiishie hapa JF Pekee nenda pia kwenye tovouti ya MSHAMBA Dauda siku hizi hata siperuzi tovouti yake imejaa kinyaa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom