iverson95 Member Joined Oct 12, 2013 Posts 67 Reaction score 8 Apr 30, 2014 #1 Uwanja wao mji wao mashabik wao na magoli wamefungwa wao.thnks cr7 ww n the best pamoja na bek RAMOS
LiverpoolFC JF-Expert Member Joined Apr 12, 2011 Posts 11,498 Reaction score 3,390 Apr 30, 2014 #2 Hakika nami nimemkubali huyu jamaa! Kwa ujumla anastahili sifa ya pekee!
D Descartes JF-Expert Member Joined Jul 24, 2013 Posts 2,765 Reaction score 1,664 Apr 30, 2014 #3 Hence proved hes is genius for scoring out of "dead-ball", in particular ...
privacy JF-Expert Member Joined Apr 20, 2014 Posts 1,448 Reaction score 1,290 Apr 30, 2014 #4 Sure the boy is GENIUS
Chizi Fureshi JF-Expert Member Joined Oct 26, 2010 Posts 1,718 Reaction score 463 Apr 30, 2014 #5 Nawazia ubingwa wa UCL x 10
P Prince Hope JF-Expert Member Joined Jul 21, 2012 Posts 2,154 Reaction score 447 Apr 30, 2014 #6 viva CR7
mkolaj JF-Expert Member Joined Mar 24, 2014 Posts 3,023 Reaction score 1,093 Apr 30, 2014 #7 huyu jamaa ni hatar sana kafunga goli kwa kutumia ufundi mkubwa sana.
uhurumoja JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 11,955 Reaction score 28,397 Apr 30, 2014 #8 Kweli ni bora lakini pia unategemea nini kwenye mstari ambao uko na dimaria bale na modric kwa nyuma ni kufunga tu madread wako vizuri kwa sasa.
Kweli ni bora lakini pia unategemea nini kwenye mstari ambao uko na dimaria bale na modric kwa nyuma ni kufunga tu madread wako vizuri kwa sasa.
Kibo10 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 11,278 Reaction score 8,868 Apr 30, 2014 #9 Yupo sawa
iverson95 Member Joined Oct 12, 2013 Posts 67 Reaction score 8 Apr 30, 2014 Thread starter #10 Wanaxtahil ubingwa
Sizinga Platinum Member Joined Oct 30, 2007 Posts 9,567 Reaction score 7,459 Apr 30, 2014 #11 Hata sielewi mnaongea vidudu gani hapa...
Mangungo II JF-Expert Member Joined Jul 6, 2012 Posts 18,223 Reaction score 27,061 Apr 30, 2014 #12 Sizinga said: Hata sielewi mnaongea vidudu gani hapa... Click to expand... ha ha ha ha ha ha ha...nimecheka sana
Sizinga said: Hata sielewi mnaongea vidudu gani hapa... Click to expand... ha ha ha ha ha ha ha...nimecheka sana