Ronald Reagan dubbed African UN delegates MONKEYS and Tanzanian as Cannibals.

babu M

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
5,221
3,167


RONALD REAGAN once described African delegates to the UN as ‘monkeys’ in a call with then-president Richard Nixon, newly unearthed tapes have revealed.
The outburst, in 1971, came a day after the UN had voted to recognise China and expel Taiwan from the organisation.
Mr Reagan, who was the Republican governor of California at the time, was angry that African delegates had sided against the US in the vote.
In a phone call to the White House, he said: ‘To see those… monkeys from those African countries — damn them, they’re still uncomfortable wearing shoes!’
Mr Nixon, who quit as president in 1974, can be heard laughing.

The recordings have been published in The Atlantic magazine by Tim Naftali, a former director of the Nixon presidential library and clinical associate professor of history at New York University. He said the tape was initially published in 2000, when Mr Reagan was still alive, but the racist portion was withheld to protect his privacy.
‘I requested conversations involving Ronald Reagan be re-reviewed and, two weeks ago, the National Archives released complete versions,’ he added.
Mr Naftali also reported Mr Nixon later told his secretary of state that Mr Reagan, who served as US president from 1981 to 1989, had described the Tanzanian UN delegation as ‘cannibals’ who ‘weren’t even wearing shoes’.
Mr Naftali said the tapes ‘shed new light’ on the stance Mr Reagan took to defend the apartheid states of Rhodesia and South Africa in the 1970s.
Mr Reagan died in 2004, aged 93, after suffering from Alzheimer’s disease.
 
Ndio ukweli mchungu.......


Na cha kusikitisha zaidi toka hiyo 1971 mpaka leo hii 2019 miaka 48 baadae "we are still Monkeys" ambao hata viatu tu ni shida kwetu
 
Hard to swallow, but i bet he has had it absolutely spot on! Africa is getting worse! Sijui tunakwama wapi.
 
Tuna shida mahali aidha hatujitambui ama ni uzembe tu

Mtu amesitiriwa mpaka kafa ndio wanaachia mazungumzo
Sisi huku ukweli wetu ni matusi
Tujitafakari
 
Ndio ukweli mchungu.......


Na cha kusikitisha zaidi toka hiyo 1971 mpaka leo hii 2019 miaka 48 baadae "we are still Monkeys" ambao hata viatu tu ni shida kwetu
Oooh yes, Africa has arised from Monkey look alike to shit hole countries
 
Nimeisoma hii Reddit... well miaka hiyo mambo ya Racism yalikuwa yanaonekana kama kawaida tu..
 
Sometimes najiulizaga sana why blacks tuliumbwa na Mungu in this way but Napata faraja na maandiko, kuna sehemu Biblia inasema hivi, (Ikimnukuu Yesu), "....nami niliifurahia dunia iliyokaliwa na watu" so nikajitengenezea tafsiri kwamba, kama mimi ninayo bustani ya maua (say napenda maua) then nitayapanda ya aina mbalimbali kwa rangi tofauti tofauti. Swali langu ambalo hua najiuliza sana kuhusu black race ni hili, mbona kila alipo mtu mweupe ni kama hua tunapoteza kabisa kujiamini? Fikiria Enzi za biashara ya utumwa, mwarabu/mweupe mmoja tu aliweza kuswaga binadamu wal (weusi) kwa mamia yao yeye akiwa mmoja tu? Hivi tofauti yetu na Wanyama hapo ni IPI? Yaani wale babu zetu walishindwa kumpiga yule mweupe mmoja ili wawe HURU!? Sielewagi kabisa. Miaka ya nyuma wakati ndio TRA yetu ikiwa mpya mpya kabisa na hasa kipindi VAT inaanzishwa, eti kulikua na mzungu 1 pale makao makuu ya TRA kama VAT advisors? Kweli???? Nilikua nawafahamu wasomi wazuri tu pale TRA wenye vyeti vizuri tu kuliko yule mzungu, why him and not those black guys? Well, mashirika mbalimbali ya kimataifa yaliopo hpa Bongo, ma managing directors wao utakuata wana degree 1 tu but wanakimbiza wenye degree kadhaa wa kibongo; tatizo hua ni nini? MD wa airtel, Vodacom, tiGo nk wana vyeti vya kawaida sana kulinganisha na wa kwetu wa TTCL, yule wa zamani alikua anazo degree 3, angalia performance na ubunifu. Nenda kwenye vilabu vyetu vya mpira, Simba na Yanga wakiwana na Mhindi, mambo huaga ni moto kweli kweli, angalia wakikalia waswahili pale? TATIZO ni NINI for black race?????? Hili swali nitakuja muuliza muumba wetu siku tukikutana. Najua kuna watu watajibu, majibu yao mengi nina hakika yatakua ya kujitetea Zaidi kuliko facts!
 
We are still monkeys kwa sababu bado tuko uncivilized kwa siasa za kishamba
 
Hasira za mkizi...

Sababu tu African wamepiga kura ya hapana kwa US ndiyo anatuita Monkeys...

Anyways kisichotuua kitatukomaza ki-Askari... anavyotuchukia anadihihirisha sisi ni wakali...



Cc: mahondaw
 
Hayo maongezi ya wazungu kuwabagua watu weusi mbona yanaendelea hadi leo hii, hakuna jipya..
 
Ahaaa haaaa
they’re still uncomfortable wearing shoes!’

Baba wa Taifa aliwabananisha kwa issues za China ndiyo maana akamwita kwa hasira.... he described the Tanzanian UN delegation as ‘cannibals’ who ‘weren’t even wearing shoes’
 
Ndo muone uchungu wa kubaguliwa kama vile mnavyowabagua maalbino, mashoga, na wanawake!! Pokeeni dozi nyani!

Mashoga tena. kwani kuna bara au nchi ya mashoga pekee?
Uwe serious saa zingine, mashoga si ni uamuziii!!!?? Lkn waafrika, wanawake na zeruzeru hao ni nje ya uamuzi au uwezo wa mtu.
 
Kwa hiyo sisi kuitwa nyani ni ukweli na si tusi.

Sina maana hiyo mkuu Bali ni udhalilishaji mkubwa
Huyo huyo Regan alipopata madaraka tu alisema black people wameumbwa kuwachezea ngoma weupe na kuwafurahisha tu nothing else
Hayo ni maneno yake pia
 
Back
Top Bottom